Wanaume wana huruma kuliko wanawake !

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Katika tafiti isiyo rasmi wanaume wanahuruma kuliko wanawake moja ya tabia za huruma ni kutoa ,au kutatua tatizo , ambayo most men have it,ila wanawake wanauchungu tu na si huruma na hii hupelekea wao kuugulia kwa ndani pasipo kutoa aina yoyote ya msaada na si sifa ya huruma! Umewahi kuligundua hili mwana jf
 
Angalia tunavyowapa lifti lkn mwanamke hata siku moja akupe lifti labda uwe jirani yake au mfanyakazi mwenzie
 
Wanaume wanatoa sababu wanatumia pesa kama silaha ya kutongozea. Wanawake wanatoa only kama ni lazima kutoa na kwa kiasi ambacho hakiharibu mpango wa nyumbani ili kesho familia yake isijikute katika watu wanao onewa huruma
 
Wanaume wanatoa sababu wanatumia pesa kama silaha ya kutongozea. Wanawake wanatoa only kama ni lazima kutoa na kwa kiasi ambacho hakiharibu mpango wa nyumbani ili kesho familia yake isijikute katika watu wanao onewa huruma
hata katika mambo ya kawaida wanawake wanaongoza kunyanyasa watoto wa kambo,bosi akiwa mwanamke mtaipata atawapigisha kwata ili mjue yeye ni nani!
 
mi nammjua mwanaume mmoja tu aliye na huruma ..mtanashanti mpole..ana sifa zote ila kubwa ni upole.......kijana huyu ni kipenzi cha wengi na hata ukikutana nae nae hutaacha kugeuka....na usiombe huyu kijana akupe maji...hutaona kiu tena ..na kijan huyu ndiye pekee anauejua thamani ya maisha yako...

hakika kijana huyu ndiye anayejua hata salio la siku zako...hana makuu...akikupenda kijana huyu huwa hana tabia ya kutoa kasoro kama walivyo vijana wengine...jmpokee leo uone utakvyokuwa kiumbe kipya...huyu mwanaume hana mfano wake.... huyu mwanaume aliacha enz na kila kitu na akakubali kufa kwa ajli yako .....huyu ndo mwanaume mwenye huruma jina lake ni YESU KRISTO
 
mi nammjua mwanaume mmoja tu aliye na huruma ..mtanashanti mpole..ana sifa zote ila kubwa ni upole.......kijana huyu ni kipenzi cha wengi na hata ukikutana nae nae hutaacha kugeuka....na usiombe huyu kijana akupe maji...hutaona kiu tena ..na kijan huyu ndiye pekee anauejua thamani ya maisha yako... hakika kijana huyu ndiye anayejua hata salio la siku zako...hana makuu...akikupenda kijana huyu huwa hana tabia ya kutoa kasoro kama walivyo vijana wengine...jmpokee leo uone utakvyokuwa kiumbe kipya...huyu mwanaume hana mfano wake.... huyu mwanaume aliacha enz na kila kitu na akakubali kufa kwa ajli yako .....huyu ndo mwanaume mwenye huruma jina lake ni YESU KRISTO
kaka umenena,na hapo ndipo huruma lina pata maana Hakuna mwanaume mwenye Huruma kama YESU KRISTO !
 
Tatizo wanaume mnawadharau sana wadada ndo maana mnasema wadada hawana huruma,
Mimi ni mfanyakazi ktk taasisi fulani nawahudumia watu karibu 250 hadi 300 per day na ni wanaume asilimia kubwa na ofisin tupo kama wanne kila shift ila cha kushangaza wakimkuta mwanaume pale akisema lolote hawawezi kumjibu vibaya wala kumbishia lkn tukisema sisi wanawake utasikia mara nyie wadada mna roho mbaya, mara mnakomaa sana na wakati hapo unakuta umemfanyia unafuu zaid ya mwanaume sasa hapo ndo nashindwa kuwaelewa kabisa
 
Huwajui vizuri wanaume wewe! Wangekuwa na nusu tu ya huruma walizonazo nazo wanawake basi maisha yangekuwa rahisi sana.
 
Back
Top Bottom