Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Nilikuwa sifahamu kuwa Wanaume wameshavigomea Vidonge vyao.
Sasa sijui nani Mjanja dunia hii ya leo? Ila mwisho wa siku, Buzi linachunwa na Changu linaachwa Solemba.
Mwingine anadai alichezewa nyeti na Ma-Changu. Akaenda kushtaki kwa wenzie wa Uamsho na vijana wakatembeza bakora mji wa Dar wote (habari na picha kwa Mjengwa blog).

Last edited by a moderator: