Wanaume wa Dar mnatia aibu

Wanaume wa dar wanajua namna yakugawana Ridhiki ...ila wanaume wamikoani yuko ladhi ajichafue wakati anajua anaenda ofisin ....kisa tu buku.....alafu wanaume wa mikoani kama niwachapa kazi waulize hivi mbona awana maendeleo.
Kweli mkuu wanaume wa dar wanajua kugawa riziki mpk na wao WAMEKUA SIO "RIZKI" kabisaa aisee
 
Hawa wavulana wa dar wanamatatizo kweli,siku hizi wanakatabia kakula mayonnaise ili waongeze shape
 
Napishana nao huku wanaume wa dar yaani ovyo tupu,kuna kijisehemu hapa sinza kuna chuo cha wanasheria sasa migahawa ya maeneo hayo jioni hupika chapati na maharage eti ndo chakula chao yaani wanatia aibu kweli,mchana wanakula wali halafu jioni wanakula chapati maharage badala ya kugonga ugali wa nguvu na nyama ya kuchoma!
Natamani hata hizi siku kumi nitakazokaa huku ziishe haraka nirudi zangu kanda maalum nikaendelee kugonga kichuri.
 
mvua ikinyesha dar si salama yani uingize miguu yako kwenye maji yaliyokusanya takataka of course maji yalizibua vyoo.
 
Yaani nimejiuliza tangu jana huyo mkaa kama atakuwa amejiona anajisikiaje au mkewe/mchumba wake nae anajihisi ana mwanaume au anajihisi ana picha ya mume/ au mchumba
 
Mwanamke zaidi ya sandals na dera hakuna kingine anachovaa kipindi cha mvua...

Kwao inakua rahisi kupandisha na kutembea kwenye maji...

Mwanaume labda avue viatu, soksi na suruali...


Cc: mahondaw
Avue abaki na boxer.mbona zinaonekana kiunoni:)mwanaume ana kiuno)?
Wanaume wa Dar huacha viboksa vyao waziwazi.
 
Back
Top Bottom