Wanaume wa dar hatupendi shida, tukishabebwa tunaenda kupata bia na nyama choma ya mbuzi na ndiziKwenye vipindi vya Mvua kama Hivi mwanamke amekunja Kanga Jianaume zima Limebebwa. View attachment 718263
Siku hizi hamkamuliwi juisi ya muwa?Wanaume wa dar hatupendi shida, tukishabebwa tunaenda kupata bia na nyama choma ya mbuzi na ndizi
Siku hizi tunakula kama watu wa Mikoani, maini na figo za kuchoma, ugali kidogo na maparachichi tunashushia na bia taratiiiiiibuSiku hizi hamkamuliwi juisi ya muwa?
Mkuu naona Mpoki ameamua kuwasemeaView attachment VID-20180318-WA0005.mp4Siku hizi hamkamuliwi juisi ya muwa?
supu ya pweza na baga je?Siku hizi tunakula kama watu wa Mikoani, maini na figo za kuchoma, ugali kidogo na maparachichi tunashushia na bia taratiiiiiibu
Mkuu naona Mpoki ameamua kuwasemeaView attachment 718289
Ha ha ha ha
ajabu ni kuwa wanaume wa Dar wanabebwa mpaka na wanawake migongoni...