WANAUME v/s masharobaro.....Maumbile yaingilia kati!!!!

Ndio maana mademu wananikimbilia oh nataka niolewe na wewe!! Mmh kumbe kuna jambo
 
Maana yake ni hua wanaangalia mtu ambae ni fit, mwenye feature za kiume na sio sura mbaya. Labda kama hao wanaodai hivyo wanaona sura za kiume ni sura mbaya.
FEATURES ZA KIUME..? unamaanisha features kama zipi Lizzy, ndevu?, sauti nzito, au? Au ulitaka kumaanisha maumbile kama 'kifua kipana', 'misuli' n.k., ambayo yanatengenezeka na sio natural?
 
Nilikua nasoma utafiti mmoja kwenye jarida moja hivi la Zimbabwe,utafiti huo unadai kuwa wanawake wanapokuwa katika zile nyakati ambazo akikutana kimwili na na mwanaume anapata mtoto huwa wanakuwa na uhitaji mkubwa sana wa kukutana kimwili,lakini kilichoniacha mdomo wazi ni kwamba wanawake wanapokuwa katika kipindi hiki huvutiwa zaidi na wale wanaume wenye sura ambazo jamii inasema ni sura "mbaya".Utafiti huo ukasema kuwa kama mwanamke atakuwa ameolewa kukawa na mwanaume mwenye sura hiyo nyakati hizi mwanamke huyo atakua katika mazingira makubwa ya kusaliti ndoa yake.Wanasema watafiti hao kuwa hayo ni mambo ya kimaumbile zaidi hata wanawake nao wakati mwingine hawawezi kuelezea hali hii,wanadai kuwa wanawake walivyoumbwa wameumbwa kwaajili ya WANAUME,wale ma sharobaro huwa hawana nafasi kwenye jambo hili kwani wanawake huwaona kama wanawake wenzao!Hukosa mvuto nao kabisa,hukutana nao kimwili kwa sababu tu wameolewa nao au ni bf wao.Wanawake hebu jikagueni muone kama kuna ukweli!
Utafiti huu utakuwa ni wa kichina tu lazima.
 
Maana yake ni hua wanaangalia mtu ambae ni fit, mwenye feature za kiume na sio sura mbaya. Labda kama hao wanaodai hivyo wanaona sura za kiume ni sura mbaya.

comment ya siku hii,.........ume_comment kwa logic
 
Back
Top Bottom