Wanaume tuwe wasafi jamani!

siyo kila Hoteli ina masink WC kwa taarifa yako mimi nwenyewe nilishuhudia jamaa Pale mnazi mmoja akisukutua na kutema mate wakati wengine tukila chakula.

Kigarama naamini unamaanisha MGAHAWA.
Manake kule kijijini kwetu hata banda la mama lishe twaita HOTEL.

Otherwise nitajipima kupitia list yako nione wapi nachemka, manake mambo haya bila wito ni kazi ngumu kweli.
 
kwa soksi kama una mke si anafanya hiyo kazi ya kufua jamani kiukweli hata kwangu kufua soksi ni mzigo mkubwa mnoo bora ninununue soksi kila siku demu wangu aje kufua wkend
 
Basi sisi wapanda daladala ndo tunakoma!kuna modume inanuka vibaya!jana nilikuwa kwenye daladala ya mwenge chuo, mwe!nusu nizimie, mtu anatema harufu kama guruwe!tukafungua madirisha yote lakini wapi!ful ku suffocate!!wanaume wenye tabia ya uchafu muache jamani!hv hata mwana mke atakukiss vipi kama hali yenyewe ndo kama hivyo!igeni mfano kwa wanaume wanaojipenda, kuna wakaka wapo smart hadi raha kum hug..!unatamani akukumbatie mda wote lakini wengine hutamani hata akusogelee!keroooo, kichefuchefu!
 
Basi sisi wapanda daladala ndo tunakoma!kuna madume inanuka vibaya!jana nilikuwa kwenye daladala, mwe!nusu nizimie, mtu anatema harufu kama guruwe!tukafungua madirisha yote lakini wapi!ful ku suffocate!!wanaume wenye tabia ya uchafu muache jamani!hv hata mwana mke atakukiss vipi kama hali yenyewe ndo kama hivyo!igeni mfano kwa wanaume wanaojipenda, kuna wakaka wapo smart hadi raha kum hug..!unatamani akukumbatie mda wote lakini wengine hutamani hata akusogelee!keroooo, kichefuchefu!
 
kwan tukifutua ndo iwe matangazo? yaaan kikitu kiduchu cha kumwambia ehh bwwana ehh ni ivi stak vile lijitu la kiume utaliona limeleta jf tujadlil..
Hahahahahaaaaaaa! Jamani na wewe Rose una maneno!!!! Hivi ni demu kweli wewe au kanyanga???? Huyo bwana ako kala hasara.
 
Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.

1. Mtu soksi zinanuka kwa sababu ya kuvaliwa kwa muda mrefu haoni kama ni tatizo

2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe

3. Una Soksi ina bonge la tobo kwenye kisigino na kwenye dole gumba lakini bila ya aibu unaivua mbele za watu.

4. Unaingiza dole lako kwenye pua na kutoa Kamasi au ugando wa kamasi bila ya wasiwasi mbele za watu

5. Unafanya kazi Gereji hufui nguo zako hadi tofauti kati yako na Grease za gereji inakuwa sawasawa na Ziro

6. Unajijua una kikwapa lakini kunyoa nywele zako za kwapani inakuwa ni mgogoro mkubwa.

7. Unakula kitimoto, unakunywa bia na vitu vingine kadha wa kadha,lakini mswaki kwako mwiko!

8. Huwezi kuoga mpaka ujue unakwenda kwenye kideti kipya.

9. Domo lako unajua kwamba linanuka lakini wewe ndiyo kinara wa kutaka kunong'oneza watu.

Hizi ni tabia ambazo baadhi yetu wanaume tunazo ila wengine wanazitetea eti ndiyo "udume" jamani tuwe wasafi kwani usafi nao ni sehemu inayochochea mapenzi.

ktkt nyekundu, Hii inakera nayo. Unamkuta baada ya kuingiza dole puani na baadae anakusalimia kwa mkono huo huo, yaani acha tuu
 
Mie nna addiction ya harufu ya mume wangu silali mpaka niinuse, akisafiri huwa natafuta Tshirt zake nnalalanazo chini ya kichwa, sizifui makusudi, niipate tu harufu yake. Kumbuka hanuki ananukia kama misk, MashaAllah, Mungu aniwekee Gozi langu.

Usafi ni katika imaan. Mwenye imaan ya kweli awe mwanamme awe mwanamke hanuki hata chembe, kwanza Waislaam wenye imani yakini huswali (kwa uchache) swala tano kila siku na kila swalaat lazima uwe na udhu, huo mnuko utatoka wapi?
 
Mashallah! Bi mkubwa wangu hapo kwa Gozi lako umenikonga
 
Attachments

  • String dental floss.jpg
    String dental floss.jpg
    39.7 KB · Views: 39
  • Stringdentalfloss.jpg
    Stringdentalfloss.jpg
    10.9 KB · Views: 24
jinsia zote tu kuna haya matatizo! kuna wadada pia makwapa yao yanatema halafu unamkuta kavaa kibrauzi vikwapa viko inje inaboa na wale unakuta hadi kwenye shati kuna ramani!
namidomo jinsia zote wapo wanaonuka midomo!
wanaboa unakuta mtu anakomaa umpe kiss ya mdomo wakati domo linanuka kama choo cha shimo!
wanawake nao kule chini niwachafu pia mtu anakomaa kukuvuta chumvini wakati kunaharufu aaaaaaaggghh!
wote tuwe wasafi naukimuona jamaa/rafiki ananuka domo au sehemu yoyote mwelimishe!
Heeheeheeee! Mkuu wa ndimu, hakikisha umebeba ndimu mda wote! Akikulazimisha tena kwenda chumvini unakamulia ndimu kwanza...!!! Heeheee mapenzi ya kuiga yana balaa, yaani ananuka kunako lkn bado anakulazimisha ulambe vitu?????
Ngoja nicheki na wachina wawatengenezee wachimba chumvi kondomu za midomo, maana hii kasi mnayokwenda nayo ni balaaa! khaaaaaa!
 
Kigarama naamini unamaanisha MGAHAWA.
Manake kule kijijini kwetu hata banda la mama lishe twaita HOTEL.

Otherwise nitajipima kupitia list yako nione wapi nachemka, manake mambo haya bila wito ni kazi ngumu kweli.
kweli bwana nilikuwa namaanisha mgahawa ingawa si ule wa mama ntilie bali ni "Restaurant" kwani kwa vigezo vya walioendelea kila kitu huku utakiona ni shaghalabaghala!
 
Kufloss ndio nini tena jamani maana ulivyokazania...nahitaji kujua tafadhali
kusafisha kinywa kwa vifaa maalumu vilivyothibitishwa au kuwa na aina fulani ya madawa yanayoua baadhi ya "wadudu" kinywani. Kinywa ndiyo sehemu yenye wadudu wengi kwenye mwili wa binadamu.
 
Kuna watu kwa asili wana kikwapa na kikwapa ni ugonjwa wa ngozi na wataalamu wa magonjwa ya ngozi dermatologists wanajua jinsi ya kushughulika nalo. Tatizo kuna watu wanajua kabisa wana kikwapa lakini kwa vile wanajidai wako Bize basi kunyoa ni mpaka watu wawe wameshapiga sana chafya kwenye daladala.

Hiyo ya kikwapa tiba yake ni rahisi sana na haina gharama. Paka jivu na ndimu halafu inakuwa poa kabisa.
 
Hao wanaume wenye tabia hizo ni wa huko kwenu,.....ambako hakuna maji,sabuni,maduka ya kuuza miswaki na dawa,hakuna leso,...etc,..huku kwetu hayo mambo hayapo_na hao kina Preta na Rose1980 wanao kussuport nafikiri mnaishi nao huko...waambie waje kwetu wataona tofauti

Hata hapa Dar tunakutana nao kwenye daladala na miharufu yao kibao, utasema wanalala na mbuzi.
 
We Mmama Unakera WEWE, Basi TU! Sasa unataka kumaanisha Dini Gani Hufundisha Uchafu: SHAME ON YOU! Cro**d*le

Mie nna addiction ya harufu ya mume wangu silali mpaka niinuse, akisafiri huwa natafuta Tshirt zake nnalalanazo chini ya kichwa, sizifui makusudi, niipate tu harufu yake. Kumbuka hanuki ananukia kama misk, MashaAllah, Mungu aniwekee Gozi langu.

Usafi ni katika imaan. Mwenye imaan ya kweli awe mwanamme awe mwanamke hanuki hata chembe, kwanza Waislaam wenye imani yakini huswali (kwa uchache) swala tano kila siku na kila swalaat lazima uwe na udhu, huo mnuko utatoka wapi?
 
Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.

1. Mtu soksi zinanuka kwa sababu ya kuvaliwa kwa muda mrefu haoni kama ni tatizo

2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate au kohozi kwenye sink linalotumiwa na watu wote. raha mustarehe

3. Una Soksi ina bonge la tobo kwenye kisigino na kwenye dole gumba lakini bila ya aibu unaivua mbele za watu.

4. Unaingiza dole lako kwenye pua na kutoa Kamasi au ugando wa kamasi bila ya wasiwasi mbele za watu

5. Unafanya kazi Gereji hufui nguo zako hadi tofauti kati yako na Grease za gereji inakuwa sawasawa na Ziro

6. Unajijua una kikwapa lakini kunyoa nywele zako za kwapani inakuwa ni mgogoro mkubwa.

7. Unakula kitimoto, unakunywa bia na vitu vingine kadha wa kadha,lakini mswaki kwako mwiko!

8. Huwezi kuoga mpaka ujue unakwenda kwenye kideti kipya.

9. Domo lako unajua kwamba linanuka lakini wewe ndiyo kinara wa kutaka kunong'oneza watu.

Update:

10. Mtu mkewe akisafiri wiki nzima basi na yeye hatandiki kitanda chake wiki nzima. Huo ni u-smart au ni uchafu?
11. Kila ukikutana na kichochoro au kigiza kidogo, mzee lazima umwage "kojo" tena lenye harufu kali. Jiheshimu!

Hizi ni tabia ambazo baadhi yetu wanaume tunazo ila wengine wanazitetea eti ndiyo "ugumu" jamani tuwe wasafi kwani usafi nao ni sehemu inayochochea mapenzi.

Mkuu pamoja na yote uliyosema, wananikera pia wanaume wenzangu wanaokojoa na kurudisha naniliu kwenye chupi ilihali kuna michirizi ya mikojo haijakauka. Matokeo yake, uvundo usiomithilika jaswa sisi tuishio maeneo yenye joto!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom