Wanaume Tupunguzeni kuchezea akili za hawa viumbe!!!

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,886
1,194
Ifuatayo ni sehemu ya sms niliyoiona kwenye simu ya rafiki yangu jana jioni:-

MESSAGE:- Amini kwamba ni wewe pekee uliyemo ndani ya moyo wangu.

RECIPIENTS:- Amina, Chiku, Rose, Conso, Asha, Mwajey, Ester, Eva

Jamani kama kweli mwisho wa dunia kutakuwa kuna moto, nadhani asilimia 90 ya wanaume wataungua na kubaki majivu.
 
Na nyie mnaona wanawake wadogo...tunakiamua tunamipanga pia kama perege. Muulize martyna
 
Ifuatayo ni sehemu ya sms niliyoiona kwenye simu ya rafiki yangu jana jioni:-

MESSAGE:- Amini kwamba ni wewe pekee uliyemo ndani ya moyo wangu.

RECIPIENTS:- Amina, Chiku, Rose, Conso, Asha, Mwajey, Ester, Eva

Jamani kama kweli mwisho wa dunia kutakuwa kuna moto, nadhani asilimia 90 ya wanaume wataungua na kubaki majivu.

Hacha kupiga chabo simu ya rafiki yako!
Confronted with gossips?
 
Back
Top Bottom