Wanaume tuna Kazi Mweeeeee

148857_501012306592951_393796920_n.jpg
Kiongozi na wewe ukumbuke kuwa na yeye huwa unampa kazi ya kutosha hasa wakati wa usiku,
Kukaa sawa (vizuri) kwa wanawake usiku ni kuapanua miguu,na kukaa sawa (vizuri) mchana ni kubana miguu,Lakini ukitamka huw ni kukaa sawa (vizuri)
 
jamaa yuko jobless, mamaa ndiye anamvalisha, anamlisha,na anampa pesa ya matumizi. sasa hapo ulitegemea jamaa angeweza kukataa kubebeshwa mamifuko?
 
Kwa wenye uzoefu, watakubaliana na mimi kwamba huyo jamaa ama hajaonja au kalambishwa kidogo dogo kama mara 1-2 hivi..

Baada ya muda (akizidisha juhudi) atakuwa huru na kutembea na magazeti yake mkononi wakati mdada atakapokumbuka na kurudi kwenye nafasi yake....

Hiyo too much display ya minyonyo sijaipenda.....inawaangusha hatiani waliomo na wasiokuwemo bure!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom