Wanaume nijibuni..

kutongoza ni kitu kingine na kungonoka.....wengine tuna hobby ya kutongoza tuu.....
 
It's very hard to be a woman in this world, you have to understand and accept that men are potentially polygamous, accept all the sh*t because that's how they are... Sometimes it's better to be single to avoid all these dramas.
 
Mapenz yapo tena kwa hali ya juu kwa mke huko kwingne tunasuuza rungu ni sawa unakula siku nyumban ila kuna muda huwa unataman ukale nje kidogo kama vile pizza huwez ukala ubwabwa kila siku utataman ule hata mishakiki
 
Mimi Nina mpenzi nampenda sana, na sijawahi kumpenda mwingine kwa sasa.. Ila kutamani ndo daaah kila Siku lazma niombe mzigo kwa dem mpya
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Tena haswaa anakupenda ila anachokitafuta kule wee unakuwa huna mfano unalo tako huna sura, una tako huna mahaba na mengineyo.
Nyama ya mbuzi, ngombe, nguruwe, kuku, nyati zote nyama ila ladha tofauti. Kinachotafutwa kule ni ladha tu.
 
Inawezekana kabisa...hapa nina mwanamke permanent lkn natafutaga michepuko ya kudunu nayo week 3 hivi then naachana nayo...
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Nyinyi mbona hamna uaminifu na mnakuwaga rahisi kutongozwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom