Wanaume nijibuni..

Je na nyie mnaweza kutuvumilia tukitamani mishidede ya aina tofauti tofauti? Au kuna double standards?
Double standard zipo, the world is not fair to women when it comes to relationship

Jaribu uone kama ndg, jamaa na marafiki watakuwa upande wako
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Kuna vitu hivi usababisha wanaume kutongoza
1.Ujue tupo kama kuku muda wote ni kudonoa japo tumeshiba!.
2.Umbali wa muda mrefu na mpenzi wako unaweza kusababisha hilo.
3.Kutokuwa na maelewano na vijitabia katika mapenzi husababisha.
 
Mwanaume ni *master key* kuwa na dame mmoja maana yake hamna umuhimu wa kuwa m/key tena.
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Mwanamke anampenda mwanaume kwa kumzoea.
Wanawake wengi wanawasaliti wanaume wao kwa sababu ya ubusy wao na kupelekea kukosa muda wa kukaa kalibu muda mlefu na wake zao na kusababisha mwanamke kuhisi hapendwi ,kwahiyo akipata mwanaume mwingine aliemzoea ni lahisi kuingia kwenye mapenzi nae.
Nashauli:WANAUME WAJITAHIDI KUTENGA MUDA WA KUKAA KALIBU NA WENZA WAO,WAASIENDEKEZE KUA BUSY SAANA.

Mwanaume anampenda mwanamke kwa kuvutiwa nae.
Hapa anaweza Kivutiwanae kwa maumbule yake,anavyoongea au kuzungumza, matendo yake nk.
Kwahiyo kama mwanaume amekupenda hivyo ulivyo basi usijaribu kuanza kujichetua kitabia kamavile kuanza kutoa maneno ya kumkela mwenzio,usijalibu kuanza kujibadilisha maumbile yako ,JITAHIDI KUBAKI VILEVILE KAMA ULIVYOKUTANA NA WEWE MWANZONI.
Maana wadada wa sikuhizi mkibahatika kupata wanaume wenye uwezo wa pesa kidogo unataka kuanza kujibadilisha,mwanaume anakwambia sitaki ujichubue,uvae mawigi nk.
Wewe unabisha unaanza kujilekebisha ,MBAYA ZAIDI UTAKUTA MWANAMKE UNAISHI MBAGARA LAKINI UNATOKA UNAENDA KUTENGENEZA NYWERE NA KUCHA MWENGE,ILI KUWALINGISHIA WENZIO.UNAFIKILI KWANINI MWANAUME ASITONGOZE WENGINE?

"WANAWAKE JITAMBUENI"
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Reality ni kwamba wanaume hatujaumbiwa mwanamke mmoja na tunapotongoza mwanamke mwingine haimaanishi haupendwi bali tunaujua ukweli kwamba Nampenda Flani tena kwa dhati ila unatongoza kwa ziada tu..ndio maana mara nyingi ata mwanamke akijua mwanaume akicheat ni rahisi maana real love anajua iko wapi tofauti na nyie wanawake huwa mkichepuka ndo baas tena thats why sisi wanaume huwa ni Ngumu kuwasamehe wanawake wasaliti maana wao wakisaliti wanahamia Jumla hawakumbukagi Nyuma!
 
Double standard zipo, the world is not fair to women when it comes to relationship

Jaribu uone kama ndg, jamaa na marafiki watakuwa upande wako
There you are, i got you my brother for admitting that the world it's not fair to women when it comes to relationships issues! I think something has to be done we are tired of being the victims!
 
Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Asilimia kubwa dada angu ndvo tulivo...

NB: Ila ni swala ambalo kwa namna 1 au nyingine linarekebshika .... ila tu ni kulingana n maamuz pia nia ya muhusika kutaka kuacha au kuendelea...
 
Kuna wakati unatamani https://jamii.app/JFUserGuide on ass, huwezi pata kwa mkeo ila kwa mchepuko, mwanaume bila mchepuko Sawa na inchi bila chama pinzani
 
Tatizo la wanawake hawajui kutofautisha kati ya upendo na mapenzi, wao hudhani hilo ni kitu kimoja. Mwanaume anaweza akampenda dem wake mia kwa mia lakini utashangaa atahemea mapenzi mtaa mwingine. Unaweza ukampenda mwanamke lakini hawezi kukata kiu yako ya kimapenzi hivo unalazimika kumsaka mwanamke mwenye kipaji cha kuyajua mapenzi, mara nyingi wanawake wenye vipaji hivi ni wachache sana na ni wa kutafutwa sana. Na hawanaga sura nzuri wala hawavutii, ndo maana unaweza ukamkuta mwanaume kazama kwa kidada fulani asie hadhi yake na amemwacha mke wake mrembo nyumbani. Uzuri wa wanaume wengi hufanya siri sana ili asimkwaze yule unaempenda sana ila bahati mbaya tu hayawezi mapenzi na wala hamlaumu kwa lolote mkewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom