Wanaume nijibuni..

Mambo wana jf, Nina swali fupi tu hivi mwanaume anaweza akawa anampenda mwanamke na bado akawa anaendelea kutongoza wanawake wengine?

Kuna mapenzi kweli hapo au udanganyifu?
Mimi mwanamme nakujibu hivi.

Ndio inawezekana akawa anakupenda wewe lkn anasumbuka sababu tu ya tamaa. Namoyoni mwake unakuta niwewe tu .

Ila Mimi Sweetheart Wangu Kapeace wala siwezi kumcheat ,, mpaka anipe ruhusa yakuchepuka ndo nachepuka.
 
Kwani wewe huwezi kua umeshiba lakini ukaona chakula kizuri ukatamani ukionje?

Kutongoza ni moja wapo ya majukumu yaliyoko kwenye Job Discription ya mwanaume. Ukizaliwa mwanume tu hiyo kazi ipo automatic kwenye JD yako.

Ukiona mtu hafanyi hivyo maana yake hatimizi majukumu yake sawa sawa, zaidi atakua shoga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom