miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,821
- 48,976
- Thread starter
- #381
Leo umenigusa miss chagga wee hujui tu!
tumwombe Mungu ipo siku
Leo umenigusa miss chagga wee hujui tu!
Sawa mkuuuuu ila???
Ila nini miss chagga? Nafahamu kuna namna ambavyo mtu anaweza kujisikia iwapo mtu fulani atamtenda vibaya. Lakini cha muhimu ni kuwa makini katika kumshutumu. Huwezi sema wanaume wote wa kichaga ni wabaya. kwanza siyo fair, kwa sababu ubaya na uzuri ni debatable. Zaidi, mara nyingi (japo si mara zote) mtu huamua kumtendea mwenzake mabaya katika kulipiza kisasi. Kwa hiyo ikiwa utamsema mtu eti mbaya, ni vema nawe uji search ili ujuwe iwapo wewe u msafi.
Vinginenvyo, sidhani wanaume wote wanaweza kuwa wabaya kama unavyotaka tuamini. Kwa maneno memngine, na mie siwezi sema wanawake wote ni wabaya, la hasha. hapa duniani kuna kitu kinaitwa co-existence, inabidi tujali sana kitu hicho. Asante kwa kunielewa
Wewe toa nduki wenzako wanatoa karibisho,safi kabisa maisha yanaenda!nikuwatoa nduki akili hawana
Hahahah..!!! Me too nataka pumzko la milelepole dada, n pm nikupe pumziko la milele
Ukiwatoa nduki pesa utapata wapi? na ugwadu pia ndio utakukondesha.nikuwatoa nduki akili hawana
Mamii lakini si ulisema una mtoto mmoja tu,tena umemzaa hivi karibuni au?,sasa hii hasira inatokana na baba wa huyo mtoto au?,basi jitahidi kuonja na mungine,coz wanaume wote sio sawa kama mlivyo wanawake,na kama matumizi hatoi basi uni PM nikutumie Western union tena sio deni ila ni bure tu,yaani usamaria,usiogope sitoomba papuchi.i real real real hate men yani i wisha nifanye kitu chuki ziishe