Wanaume ni viumbe wabinafsi sana na wasiokuwa na utu

Usiwachukie mamy wadharau tu coz ukiwachukia utakuwa unauumiza moyo wako.
Off course nakubaliana na wewe asilimia kubwa ya wanaume ni wabinafsi sana, mimi baada ya kuligundua hilo I don't waste a single minute kuwafikiria yaani akiniletea habari za kunipenda sjui blah blah atajuta.
Eheheheheh :cool2:

Tema mate tuwachape,,,izo confidence za kwenye key board kama kweli vile!!,,,kumbe unagaragazwa vile vile km wengne!
 
Habari rafiki

najitahidi sana kuamini kuwa wanaume ni wazuri ila kila kukicha naona hawa viumbe ni wanyanyasaji, wabinafsi, hawana utu, wauwaji, wabakaji, wanyaganyi, wauwaji, roho mbaya.

Nitaendelea kuamini wanawake ndiyo chachu ya maendeleo hasa kwa watoto wao.

Mtabishana a mimi lakini ndiyo ukweli wenyewe baba anatelekeza watoto anamwachia mama. Mama kwa kujali na upendo anaamua kupambana na baba atoe matumizi ya familia ada ya shule huku lijianaume likiwa libishi kuendekeza ufuska tu.

Leo hii nyie nyie wanaume mnakuja na viutafiti vyenu eti watoto wliolelewa na mzazi mmoja wanatatizo mfyuuu hata aibu hamna.

Asilimia kubwa ya watoto wengi ni mapambano ya mama kuvumilia uozo wote wa baba na kujitahidi kukufanya kama ulivyo mwisho wa siku mnajifanya kufanya utafifi.

Suluhisho kila mwanaume anayetia mwanamke mimba ahakikishe anakuwa bega kwa bega na mama hata kama unanyimwa papuchi, hata kama hupendi mama, matatizo yako na mama yasipelekee shida kwa watoto.

I real hate you men

I know you're angry! I can understand that. Lakini kuchukia wanaume wote kwa makosa ya wachache is being cruel and unfair.

Wanawake WENGI wanaingia kwenye matatizo ya abusive men kwa sababu wanafukuzia manufaa yao zaidi. Wanawake hao wapo likely kumkataa mwanamme ambae ni Respectful na badala yake kumkubali yule mwenye Power and Money ili apate ku-experience life at its best. Sisemi kwa kutetea wanaume hao ila ni kwa kuonesha wazi kiasi gani hii element ya Respect ingeleta tufauti kwao. Ni very rare case kumpata mwanamme ambae ni Rich, Powerful and Respectful to women.

Mwanamme anaeheshimu mwanamke hafanyi vitendo hivyo vya kinyama!
 
kumekuwa na tabia ya akina mama siku hizi kuweka gap la makusudi kati ya watoto na baba zao,ukiangalia watoto wengi wa siku hizi utasikia wanasema simpendi baba hata kidogo ila mama ndo nampenda,Ikumbukwe kwamba katika malezi ya mtoto kila mmoja kati ya wazazi wawili yaani mama na baba hakuna anayependa kumtesa,kumnyanyasa au kumuonea mwanae aliyemzaa mwenyewe ila kila kinachofanyika ni katika kumfanya mtoto aishi maisha mazuri baadae,akina mama wengi hujidai eti wao wanahuruma kuliko wazazi wenzao wa kiume,utakuta baba anamkataza mtoto kitu fulani akiondoka mama na mwanae wanaanza kumsema baba,nimeshuhudia watoto wengi wakiharibiwa na mama zao na kuwachukia baba zao!hii sio sawa kwani unakuta baba unahangaika unamsomesha mwanao,umejenga nyumba mnaishi vyema,unaipatia mahitaji yote familia yako then at the end unaonekana eti wewe ni mbinafsi,mchoyo na huwapendi eti watoto wako wa kuwazaa mwenyewe!WANAWAKE WANADHANI ETI KUWA NA HURUMA NDIO MALEZI BORA,HAIMAANISHI KWAMBA KUWA BABA NDO MLEZI BORA AU KUWA MWANAUME NDIO MLEZI BORA KILA MTU ANAMCHANGO WAKE KATIKA MALEZI YA MTOTO ILA WANAWAKE WENGI WANATUMIA WEAKNESS ZAO KUWAFANYA WATOTO ETI WAWAONE WAO WANAONEWA NA WAUME ZAO ILI TU KUWAWEKA MBALI WATOTO NA BABA ZAO KITU AMBACHO NI KIBAYA SANA.

sawa mkuu mnisamehe kwa kuwachanganya
 
nimekuelewa mkuu tutaacha
 
Back
Top Bottom