Wanaume na WOWOWO!!

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Wakuu,


Kawaida wanaume wengi tuko flat sana.Ila siku hizi vijana wa kiume walio wengi ukiangalia nyuma wamejazia ile mbaya.Tatizo ni nini?Uvaaji au ulaji?Kindly help,am dead of clarification.
 
Mimi naona vijana wa siku hizi style za Cabbo Snoop.

Ila wacheza mpira wengi ulaya wamejaza nyuma sijui why!
 
Wakuu,


Kawaida wanaume wengi tuko flat sana.Ila siku hizi vijana wa kiume walio wengi ukiangalia nyuma wamejazia ile mbaya.Tatizo ni nini?Uvaaji au ulaji?Kindly help,am dead of clarification.[/QUOT

Mh!
 
Kwa kweli mimi nadhani ni aina za vyakula mlavyo pia na aina ya mavazi mvaayo.
Kwa sababu ktk uchunguzi wangu nimegundua asilimia nyingi ya wanaume wavaao kata K ****** yao hutuna na wengine huongezea na masponji ili muonekane hivyo. mayenga huo ndio utandawazi.

kuna ukweli hapa!
 
Back
Top Bottom