Wanaume na ngono

Da Womanizer

JF-Expert Member
May 24, 2010
1,577
148
Mimi nimekuwa nikifiria mara nyingi sana inakuwaje ss madume una wife/demu unampenda na ukimega unaridhika lakini bado ukiona demu mwingine unatamani na akiingia kwenye 18 zako unamega vilex2 na sasa nimefikia conclusion kwamba kwa kiasi kikubwa hawa dada zetu ndio wanatupelekea sana katika hilo. Yaani huko mitaani ni full ngonongono na kutegana especially ukiwa mtu fulani unajimudu. Tunasemaje wakuu?
 
Kutamani ni hali ya kawaida... lakini kinachotutenganisha wanadamu na wanyama wengine ni uwezo wa kuji-control...
Funika "peni" hiyo ndugu yangu, kwani ni nani atakayekulazimisha "kutia saini" popote tu???
Jifunze control!!!
 
1.Mwanamke kupendeza ni wajibu na hulka yao,wanakuwa wasafi zaidi.
2.Tamaa na kutokuvumilia ndio chanzo kikuu cha kutafuta substute.
3.Kimsingi wanawake wote wanafanana sana,sijasema wapo sawa ila wanafananafanana.
4.Tatizo kubwa ni uroho na akili yako kichwani.
5.Unasema ukiwa mtu fulani unaejimudu utafuatwa..oooh yes kumbe ulitakaje?kule shamba mwanamke anaangalia nani mkulima mzuri basi anapenda aolewe nae Hapa mjini mashamba yapo wapi?Shamba ni kazi yako,pesa yako.....
6.CHAGUA MMOJA UTULIE NAE, ukiwa na tabia ya kumegamega muda si mlefu utamega virusi vya ukimwi.Na bila kusahau moto wa milele unakungoja kwa sana.
7.Unakubalije kutegwa?kweli mtu unaona kabisa huu ni mtego huu....jamani ni mtego huu...halafu unapeleka mguu?????wakati huo umelewa au mzima?...........anyway ni mawazo yangu tu.
 
7.Unakubalije kutegwa?kweli mtu unaona kabisa huu ni mtego huu....jamani ni mtego huu...halafu unapeleka mguu?????wakati huo umelewa au mzima?...........anyway ni mawazo yangu tu.

Design kama mbwa amfuatavyo chatu kwa huzuni! :becky:
 
Mimi nimekuwa nikifiria mara nyingi sana inakuwaje ss madume una wife/demu unampenda na ukimega unaridhika lakini bado ukiona demu mwingine unatamani na akiingia kwenye 18 zako unamega vilex2 na sasa nimefikia conclusion kwamba kwa kiasi kikubwa hawa dada zetu ndio wanatupelekea sana katika hilo. Yaani huko mitaani ni full ngonongono na kutegana especially ukiwa mtu fulani unajimudu. Tunasemaje wakuu?

All men are polygamous by nature so it is natural.. cha msingi ni ku-control our needs kwa sababu kila siku vidosho nao ndo wamekuwa wabunifu zaidi... mara shanga, mara ma-miliki, mara vimini, ili mradi tu aulizwe
 
vidosho nao ndo wamekuwa wabunifu zaidi... mara shanga, mara ma-miliki, mara vimini, ili mradi tu aulizwe

Hakika wewe ni old school; nimecheka sana haya maneno kwenye bold niliyasikia siku nyingi sana! teh teh teh teh!

Eh wanzidi kututega tu! teh teh :becky:
 
Idumu JF....................Idumu
Litumu jukwaa na MAHUSIANO, MAPENZI NA URAFIKI...............Lidumu.

JF ju ju ju juu zaidi
 
Kutamani ni hali ya kawaida... lakini kinachotutenganisha wanadamu na wanyama wengine ni uwezo wa kuji-control...
Funika "peni" hiyo ndugu yangu, kwani ni nani atakayekulazimisha "kutia saini" popote tu???
Jifunze control!!!

very good....thats why I nanihii you....:smile:
 
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Juuuuuuuuuuuuuuu Juuuuuuuuuuuuuu Juuuuuuuuuuuuuuu Zaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii:target::target::target::target::target::target:

:cheer2::violin::cheer2::violin::cheer2::violin:
 
utashi wa mawazo ya mtu ni utambulisho wa yeye kwa jamii nzima,
siku zote utashi wa mwili humwongoza mtu kwenye tamaa,
bali utashi wa utu wa mtu ni roho imwongozayo kwa hekima,

kuweka hapana mahali panapo stahili ndiyo kwa hatari uhai wake,

kuweka ndiyo mahali panapostahili hapana yenye faida kwa afya yake
 
Kutamani ni hali ya kawaida... lakini kinachotutenganisha wanadamu na wanyama wengine ni uwezo wa kuji-control...
Funika "peni" hiyo ndugu yangu, kwani ni nani atakayekulazimisha "kutia saini" popote tu???
Jifunze control!!!

who said anythng about kulazimishwa John?? Mi sidhani kama ni halali kwa hawa dada zetu kuachiwa watutege, sio fair kwa sababu mwisho wa cku mambo yatakuwa yaleyale ooh shetani alinipitia nisamehe honey....
 
Back
Top Bottom