Wanaume mnajisikiaje kumtongoza mwanamke nakukubalia hapo hapo

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
475
Hamjambo wanajf .hivi jamani wanaume wenzangu ni sawa kwa mwanamke kumtongoza siku ya kwanza na anakubali siku hiyo hiyo. Mimi ninavyojua kwa kawaida mwanamke anatakiwa amsumbue kidogo mwanaume wala si siku hiyo hiyo mwanamke umemtongoza anakubali ataonekana kama malaya. Je wewe mwanjf unaonaje kwa mwanamke kutongozwa siku hiyo hiyo na kukubali ?
 
Hamjambo wanajf .hivi jamani wanaume wenzangu ni sawa kwa mwanamke kumtongoza siku ya kwanza na anakubali siku hiyo hiyo. Mimi ninavyojua kwa kawaida mwanamke anatakiwa amsumbua kidogo mwanaume wala si siku hiyo hiyo mwanamke umemtongoza anakubali ataonekana kama malaya. Je wewe mwanjf unaonaje kwa mwanamke kutongozwa siku hiyo hiyo na kukubali ?

Wewe unaonekana umezoea matatizo na yamekuwa sehemu ya maisha yako_ndio maana unapenda shida/usumbufu,....mm akisema hata baadaye wala sihaiki...na wala simuoni malaya.
 
sorry mi sio mwanamme ila imenigusa......tatz mmekrem kwmb mwnmk akikukubalia siku hiyohiyo ni kicheche,thats not true..labda kama ulimuomba k siku iyoiyo akakubali hapo unaweza ukashtuka kidogo.lakn kama ni kuomba kuanzisha urafiki wa kimapenzi aaaaa,,mbona hilo jambo la kawaida,we unataka achukue muda gani ndo akukubalie?????nyie ndo mnaoingiaga kwny mkenge
 
wazoefu wanasema kuwa mke wa mtu mara nyingi anakubali siku hiyo na ukiweza waweza kumpata siku hiyo hiyo. Mschana ambaye hajaolewa ni vigumu sana
 
Tangu siku za ukweli na uwazi, wasichana/wanawake nao wamefunguka, hakuna cha kesho, keshokutwa au baadae tuonane ila tu ni hapo kwa papo. Na hii ndiyo njia nzuri ya kujua mpanzi wa kweli, sio huyo kwa kukusanya majibu ya uhongo.

Ki-msingi ni jambo jema kutongoza msichana akakubali au akakataa bila longolongo yoyote maana kuna baadhi ya wanaume wanaotaka jibu hapo hapo, ukisema kesho HAKUFATILII wewe unaishia ningejua.....
 
wazoefu wanasema kuwa mke wa mtu mara nyingi anakubali siku hiyo na ukiweza waweza kumpata siku hiyo hiyo. Mschana ambaye hajaolewa ni vigumu sana

oh angalau wewe umenena ukweli kwa kawa binti ni vigumu sana lazima akuzungushe hiyo nitamaduni yetu wabongo
 
yaani m ndo zangu kukubaliwa first time na mambo huwa pia napewa the first day na wa2 wengine wanahangaika kila kukicha na warembo hao hao inategemea pengine mrembo alikuwa anakuona kila cku sema we unapoteza cku ukitupa mistari tuu unakuwa umesharahisisha kazi kwake .......daah yaani mambo ya kusbir jib au subir nikuzoeee nakukimbiaa fasta hapo ndo kuna wachunaji balaaa mara kesho saloon mara nna shida na laki
 
Katika hii X generation hakuna kitu kutongoza sema unaomba upewe K tu kwa hiyo inategemea chance ya mwenye hiyo kitu kama yuko tayari wakati huohuo ama baadae...mimi demu akinipa hata hata baada ya 5sec simshangai maana nilimwomba...
 
yaani m ndo zangu kukubaliwa first time na mambo huwa pia napewa the first day na wa2 wengine wanahangaika kila kukicha na warembo hao hao inategemea pengine mrembo alikuwa anakuona kila cku sema we unapoteza cku ukitupa mistari tuu unakuwa umesharahisisha kazi kwake kazi.......daah yaani mambo ya kusbir jib au subir nikuzoeee nakukimbiaa fasta hapo ndo kuna wachunaji balaaa mara kesho saloon mara nna shida na laki

jf bwana mara kesho saloon mara nne
 
Hamjambo wanajf .hivi jamani wanaume wenzangu ni sawa kwa mwanamke kumtongoza siku ya kwanza na anakubali siku hiyo hiyo. Mimi ninavyojua kwa kawaida mwanamke anatakiwa amsumbue kidogo mwanaume wala si siku hiyo hiyo mwanamke umemtongoza anakubali ataonekana kama malaya. Je wewe mwanjf unaonaje kwa mwanamke kutongozwa siku hiyo hiyo na kukubali ?

Modulator tafadhali naomba uifunge hii topic kabla wanawake hawajaisoma, itatusababishia matatizo sana hasa wale ambao mambo ya kalenda huwa hatuyawezi. Kuna rafiki yangu humu JF ameamua kuwa bachellor mpaka leo sababu hapendi mambo ya kupigwa tarehe
 
uoga wako tu au kuna binti humu anakupiga tarehe unahofia akiisoma ata double date , njemba zinacomment nikupiga chini tu akikupiga date
 
Back
Top Bottom