Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,118
- 49,481
Katika harakati zangu za maisha, nimekutana na watu tofauti tofauti, wa makabila, na imani tofauti tofauti wengi wao wakiwa ni wanawake.
Katika kukaa na kusikia mengi kwa wanawake wenzangu kuna mambo yaliyonipa wakati mgumu na kutaka kuwatahadharisha wanaume katika harakati zenu za kusaka wanawake.
Wanawake wamekua wanatumia dawa kuwaingiza wanaume kingi,
kuna dawa za mvuto, mwanamke anamnuia mwanaume yoyote anayemuhitaji, hapa mwanamke ana miliki wanaume mpaka kumi na hawasemi lolote hata wakijuana
na kama una mke unamsahau kabisa.
Nyingine inafanyika kwa mwanaume aliyenae anakosa kauli na kufata amri za huyo mwanamke..
NB: Zipo aina nyingi ila hizi ni very common. Zinafanywa na walioolewa na wasioolewa.
Men Be Aware.