Wanaume kuwaficha wake zao juu ya akaunti zao. Why??

Baadhi ya wanaume wamekuwa na akaunti ambazo hazijulikani na wake zao (Yaani hazijulikani kuwa zipo, sio zina sh ngapi..).

Mfano mzuri ni stori ya leo kwenye magazeti kuwa baada ya hali ya milipuko ya G,mboto, kuwa mbaya mwanamke mmoja anaeleza kuwa mume wake 'aliungama' kwake mambo kadhaa, ikiwemo kumpa taarifa juu ya akaunti ambazo huyo mke alikuwa hazijui...

Swali; Ni sababu zipi zinaweza kumfanya mwanaume awe na akaunti ambayo mke wake haifahamu?

MbONA MNATAKA KUSHirIKISHWA KATKA MAHELA MAHELA,MBONA HAMUULIZAGI KAMA MASHEJ,MAWIFI WANAMATATIZO GANI MUWASAIDIE JAPO KWA USHAURI???? Nyie mNALALAMA KUHUSU MAHELAA MAPESA,MAMONEY MACHAPAA,maFARANGA JAMANI MUBADILIKE,MUULIZIE NA SHIDA ZA NDUGU CO MAHELA TUU...."!!!
 
Back
Top Bottom