Wanaume jf wamepewa libwata............

limbwata orijino nasikia ni la watu wa Handeni... Hilo nomaa...
N.B. Nawapenda wanachitchat wote kwa saana.. Baadhi yenu mwajua niliko.. I LOVE YOU ALL
 
Sio wote na wanajijua, yaan bila kuwataja hawa warembo wawili sekunde, saa, dakika, siku haziendi kabisa herufi za mwanzoni za wanyage hao ni F na C na za mwisho herufi zao zinafanana sana ni Y,kuna mmoja wao nilishamuomba maunjanja hayo anipe nami niwe natumia ili nitajwe nitwaje lakini alivyomlaku!!! aliishia kunipa LIKE.nipo kwenye mchakato wa kutoka kwenye net yangu ya msaada wa cameroon labda labda................nita.........mmh wanatumia nini hao mabinti jamani aaaah!!. ANGALIZO,SINA WIVU ILA ROHO INAUMA
Bishanga yumoyumo lakini havumi kama wenzake

kasafishe nyota kama sio kurenew software @ummu kulthum
 
Back
Top Bottom