Wanaume hebu tuongee kidogo; TUJIREKEBISHE

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Habari za nyakati hizi wanajamvi! Nimeona niseme machache kwa wanaume wezangu. Pengine yalishasemwa, basi ni

kukumbushana tuu!

1. Mpende Mkeo wakati wa ujauzito! Ulimpenda. Ukamwoa. Ukamwita majina mengi ikiwemo wewe ndio mama wa watoto wangu.

Umefanya vitu na sasa ni mjazito, kwa nini kukimbia kimbia nje? Tumehusika kusababisha ujauzito basi tuoneshe upendo mkubwa

na matunzo ya hali ya juu katika msimu huo.

2. Little surprises work out a lot! Does it make you less a gentleman to prepare a breakfast for her?

3. Does it kill you or make you less a man to say ' Im sorry my wife, please forgive me'?

Basi, pale panapotuhusu, tupachukue, tuparekebishe, tufurahie ndoa zetu. Life is short why kununiana daily ndani wakati nje

unacheka na visekretari pamoja na vihudumu?

Asubuhi njema.
 
Mmmh hiyo ngonjera haipo kwenye dictionary ya wanaume wa kiBonGo. Hawajui ni kazi kubeba mimba miezi 9 ontop of that there is alot of biological changes katika mwili wa mwanamke including hormone which may affection her emotionally.
 
Kitchen party!! Instead of honey, sasa ni oyaaa kwani huo msosi bado?
 
Jirekebishe mwenyewe.


Ndo mana nikasema kama inakuhusu! Mimi nishaichukua. Ukiiona inakusaidia take it. Ukishindwa unaipotezea taratiibu maaa kila mtu

na maisha yake. Muhimu kushauriana yale yaliyo ya msingi. Kama haya
 
Aisee kwenye maswala ya surprises wanaume wote tunajitahidi sana.

Iwe akishika simu yako, au akibahatika kufungua e-mail yako there will always be surprises awaiting her...:lol::lol:


hahahahahah loh kama hii ndo suprise yenyewe kazi ipo
 
Aisee kwenye maswala ya surprises wanaume wote tunajitahidi sana.

Iwe akishika simu yako, au akibahatika kufungua e-mail yako there will always be surprises awaiting her...:lol::lol:

He he he sio lazima iwe suprise nzuri
 
mi wanawake wajawazito really turn me on so mke wangu akishika mimba ntamganda mpaka mwisho
 
Good fiction. In reality ukmdarling saaaana my wife basi ana anza ku suspect una lako nje unalofanya. Lets be realistic. Kama una mke nina uhakika hayo yanakupata. Unless umeowa Malaika.
Life is like riding a bicycle. To keep your balance you must keep moving
 
Mpita Njia toka Mars kweli hapa duniani umepita tu
Kweli duniani kuna mambo. Kati ya mambo yanayonifurahisha ni kuchezea kitumbo cha mama anapokuwa mjamzito, tena huwa sipendi awe mbali kwa muda mrefu. Wengine wanachukia hilo? Ajabu kweli!
 
hongera mpita njia. Sio wengi wanaweza hivyo. Lakini inawezekana kabisa
 
Aisee kwenye maswala ya surprises wanaume wote tunajitahidi sana.

Iwe akishika simu yako, au akibahatika kufungua e-mail yako there will always be surprises awaiting her...:lol::lol:

Duh! Upande huo wa surprise si mchezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom