Wanaume acheni mara moja kuvaa "kufuli" zinazobana ni hatari tena kubwa sana!!!

Unafikiri nakataa Dena, tatizo langu ni hivi, nobody is providing scientific explanation and then we are generalizing. Kwa mfano, kwenye eneo kama Makambako kuna baridi kali. Na maeneo mengine mengi tz. Zikipata baridi sana pia zinauma kwelikweli hivyo kupunguza intensity ya ngono. Shafti pia inakuwa ndogo sana kwenye baridi kali, inaweza hata isisimame wakati kwenye joto inasimama hovyo hovyo. kwa hiyo watu wa maeneo ya baridi kali boxer hazitawasaidia. Dar sawa.

Mimi niliacha kuvaa ch... nikiwa Mafinga JKT tena enzi zile baridi ilikuwa kali sana. Kuna rafiki yangu mmasai alinielimisha kuhusu suala hilo. Nikaacha kabisa nikawa natanguliza bukta tu. Ajabu pamoja baridi kali, nilikuwa 'nakong'oli' kama kawa tena hata tukiwa shambani tunachepuka kidogo tu na mchezo unafanyika. Tangu wakati huo mpaka leo mimi na bukta nyepesi tu na kengele zipo free zinacheza kama zinavyopenda zenyewe. Nashangaa wanaosema sijui nguvu zimefanya nini sijui!! Mimi ukinishtua muda wowote naweza ku-tune kwenye ule muziki mororo na kuucheza mpaka ushikwe bumbuwazi.
 
Tena kuna mwanamke mmoja huwa ananiudhi sana tena saaaaana eti akimwona mtoto ana pumbu kubwa utasikia huyu mtoto mama yake hajamkanda haya madude alipokuwa mchanga sasa huyu MWANAMKE HIVI ANA AKILI KWELI , iko siku ntampasha kisawa sawa, mtoto akandwe mapumbu duh kweli sio kila mwanamke anaweza kule mwana. MIMI naanza leo free style no kufuli kitu ilembele tuuu irefuuuuke mpaka magotini
 
Hata mababu zetu enzi zao walikua hawavai chupi kabisa,wao wanakua free kabisa hata hewa inapita,wanavaa msuli au suruali bila chupi,wanajua madhara ya chupi,,

Unamaanisha mababu zako wa Pwani au? Maana mababu zangu wa Mwanza,hawakuujua msuli!

Pia hao mababu ni wa enzi gani? Maana kama enzi za kale,hata huo msuli au hizo suruali hawakuzijua!
 
Mimi niliacha kuvaa ch... nikiwa Mafinga JKT tena enzi zile baridi ilikuwa kali sana. Kuna rafiki yangu mmasai alinielimisha kuhusu suala hilo. Nikaacha kabisa nikawa natanguliza bukta tu. Ajabu pamoja baridi kali, nilikuwa 'nakong'oli' kama kawa tena hata tukiwa shambani tunachepuka kidogo tu na mchezo unafanyika. Tangu wakati huo mpaka leo mimi na bukta nyepesi tu na kengele zipo free zinacheza kama zinavyopenda zenyewe. Nashangaa wanaosema sijui nguvu zimefanya nini sijui!! Mimi ukinishtua muda wowote naweza ku-tune kwenye ule muziki mororo na kuucheza mpaka ushikwe bumbuwazi.

Of course katika kila jambo kuna exceptions mkuu. Sasa hebu fikiri kuhusu machinga ambaye anatembea kama kilomita 10 kwa siku na amevaa boxa na kengele na shafti zinagongana kama mmanga. halafu chukulia wewe ambaye ukitoka nyumbani unapanda gari na ukifika ofisini umekaa hadi jioni. halafu weka factor ya umri katika hizo scenario mbili
 
Ukivaa bukta loose kengele hazigongani sana kiasi cha kuleta discomfort lakini amini usiami hiyo ndiyo hali inayotakiwa kwa mwanaume. Viungo vinakuwa free badala ya kubanwa banwa. Sijui kama unafahamu kwamba baashi ya wanaume 'mitaimbo' imelemaa kwa kupinda kidogo kwa sababu ya kubanwa mchana kutwa.
 
ha ha ha haaaaaa, siyo kwa sababu ya urefu na shina linashindwa kubeba mkuu?
 
ha ha ha haaaaaa, siyo kwa sababu ya urefu na shina linashindwa kubeba mkuu?[/COLOR]

Hapana hata mtaimbo ukiwa mfupi in the long run lazima upinde tu. Inatakiwa uwe straight na ku-maintain original design na hii inasaidia sana. Inakuwa rahisi damu kusambaa na kumwamsha mzee. In fact, mtaimbo ulionyoka unapenya kirahisi kwenye kona zote unapokuwa kazini.
 
Du!
 
Tupo pamoja mkuu, 'kitu' inatakiwa iwe imenyoooooka kisawasawa ili kukabiliana na mabonde na milima yenye vichaka vya kila aina.
 
Ukivaa bukta loose kengele hazigongani sana kiasi cha kuleta discomfort lakini amini usiami hiyo ndiyo hali inayotakiwa kwa mwanaume. Viungo vinakuwa free badala ya kubanwa banwa. Sijui kama unafahamu kwamba baashi ya wanaume 'mitaimbo' imelemaa kwa kupinda kidogo kwa sababu ya kubanwa mchana kutwa.

Yes, tunapaswa wanaume tuvae bukta zilizo loose tena za PAMBA siyo hizo za tetron na synthetic materials. Underwear/bukta za Pamba ni bora zaidi kwasababu hazina joto ambalo mara nyingi huathiri uzalishaji wa mbegu za kiume na hivyo kupunguza kasi ya mzee kushughulika anapokuwa ndani ya mavituuuz!
 
Mbona wenyewe hawasemi kama haya mnayoyasema ni sahihi? Kuna wanaosema ikibyooka chumu inachomachoma na hivyo inaumiza
 
Mi navaa boxer zinanzo bana lakini nafanya mambo kama kawa huwa sipigi chini ya nne kila ninapofanya
 
Maneno yako yana maana . Vaeni vikoi na pia kitu kingine acheni kuangalia filamu za uchi, hizi zinawafanya muone uchi au umbile la mwanamke kua kama kitu cha kawaida na hakiwapi ashiki na kuwapa hamu. Pia acheni kufanya mapenzi kizungu kama kunyonyana na kuchezeana sana haya yote yana punguza ukali wa kisu mwisho kinakuwa butu.
 
Tatitizo tusipovaa chup dudu ikisimama inakuwa balaa hasa pale unapoona jinsia tofaut maeneo ya kutamanisha kama mazwa, mapaja makalio etc

Ni kweli kuwa ukiona mic hiyo juu?sasa nadhnai kila siku iko juu kwani naamini kila siku lazima uone mwanamke wa hivyo
kazini/barabarani na n.k.
 
Mi navaa msuli chupi no korodan zina afya ya kutosha + zakari inakuwa ndefu nene.
 
Back
Top Bottom