Wanaume acheni hii tabia chafuuuuuuuuuuuuu.

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
JF ni social media na kazi yake ni kupashana habari, kurekebishana na kujengana pia. Mimi kuna tabia huwa siipendi na kama kuna mwana JF anayo namsihi aache MARA MOJA. Na hii tabia iko zaidi kwa wanaume.

Unakuta mwanaume anamla demu/mke wa mshikaki mwengine na wakati utamu umekolea lile dume eti linamwambia MTUKANE MUME WAKO/BOY FRIEND WAKO na mdada nae anakazana ****** WEWE HUKU AKITAJA JINA LA MPENZIWE.

Huu ni unyanyasaji kwani mtu anapokuwa kwenye climax hana control ya chochote kile hivyo ni kama unamzalilisha tu.
Au madada mnataka kutetea kwamba huwa hamfanyagi hivyo.
 
Vipi mkuu mbona kulalamika, je wewe umeshakuwa mhanga wa tabia hii? Pole mkuu kama ulitukanwa na demu wako wakati akibanjuliwa na lijamaa.
 
mmh, ni ngumu sana kujua kama hii inatokea unless ume-practice
 
JF ni social media na kazi yake ni kupashana habari, kurekebishana na kujengana pia. Mimi kuna tabia huwa siipendi na kama kuna mwana JF anayo namsihi aache MARA MOJA. Na hii tabia iko zaidi kwa wanaume.

Unakuta mwanaume anamla demu/mke wa mshikaki mwengine na wakati utamu umekolea lile dume eti linamwambia MTUKANE MUME WAKO/BOY FRIEND WAKO na mdada nae anakazana ****** WEWE HUKU AKITAJA JINA LA MPENZIWE.

Huu ni unyanyasaji kwani mtu anapokuwa kwenye climax hana control ya chochote kile hivyo ni kama unamzalilisha tu.
Au madada mnataka kutetea kwamba huwa hamfanyagi hivyo.

daah nikajua mambo ya usodoma kumbe kutukana 2... Aisee..
 
Mmmh,ndio kwanza nisikie tangu nizaliwe,sasa huyu X umtukane yupo au anakusikia? ujinga tuu,tena ningekua mie akinambia nimtukane namwambia siwezi sababu hunikolezi kama yeye sijui kama ataendelea kutwanga tena ....
 
Story za kijiweni hizi, hivi hamna cha kuongea kijiweni mpaka muongee vepa kiasi hiki.
 
JF ni social media na kazi yake ni kupashana habari, kurekebishana na kujengana pia. Mimi kuna tabia huwa siipendi na kama kuna mwana JF anayo namsihi aache MARA MOJA. Na hii tabia iko zaidi kwa wanaume.

Unakuta mwanaume anamla demu/mke wa mshikaki mwengine na wakati utamu umekolea lile dume eti linamwambia MTUKANE MUME WAKO/BOY FRIEND WAKO na mdada nae anakazana ****** WEWE HUKU AKITAJA JINA LA MPENZIWE.

Huu ni unyanyasaji kwani mtu anapokuwa kwenye climax hana control ya chochote kile hivyo ni kama unamzalilisha tu.
Au madada mnataka kutetea kwamba huwa hamfanyagi hivyo.

Rais apunguziwe madaraka ya kuteua vyeo kibao! Viti maalumu viwe maalumu kweli mfano,walemavu,wazee,vijana,albino,wanawake baasi kila chama kitoe viti sawa!! RC,DC,Mawaziri,wakurugenzi wa idara mbalimbali/wilaya/mkoa,Makatibu wa wizara na wote wanaoteuliwa na prezda wote wawe wanaapply position hizo na qualification husika strictly degree/master/phd etc

•mbunge aweze kuadabishwa na wananchi sio lazima afikishe miaka mitano na akiondolewa mshindi wa pili ashike kiti(kuepuka gharama za uchaguzi)

•Mfanyakazi wa umma waziri,mkurugenzi,katibu na vyeo vinavyofanana na hvyo akila rusha au akiliingizia hasara taifa shurti afilisiwe na apate mvua zisizopungua 10

•Serikali isomeshe wanafunzi bureee vyuo vikuu
 
enh vp tena mkuu.. au mi ndo sijaelewa.!!! King Kong III
 
Last edited by a moderator:
Mzuka jamani una mambo na uzuri kungononeka ni jambo very private,labda nimuulize mtoa mada hivi tuseme kila kitu ambacho tume experience kwenye kungononeka? Patatosha kweli hapa. Ungejua kongosho huwa analiaje akikaribia kilele wala usingefungua thread hii.
 
Huo ni upuuzi mno, huwa nashangaa watu wanaposema hivyo, kumbe it's serious, inatokea!, lucky, sijawahi kukutana na mtu mpuuzi kama huyo
JF ni social media na kazi yake ni kupashana habari, kurekebishana na kujengana pia. Mimi kuna tabia huwa siipendi na kama kuna mwana JF anayo namsihi aache MARA MOJA. Na hii tabia iko zaidi kwa wanaume.

Unakuta mwanaume anamla demu/mke wa mshikaki mwengine na wakati utamu umekolea lile dume eti linamwambia MTUKANE MUME WAKO/BOY FRIEND WAKO na mdada nae anakazana ****** WEWE HUKU AKITAJA JINA LA MPENZIWE.

Huu ni unyanyasaji kwani mtu anapokuwa kwenye climax hana control ya chochote kile hivyo ni kama unamzalilisha tu.
Au madada mnataka kutetea kwamba huwa hamfanyagi hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom