Wanatumia mkono wa kushoto/mguu wa kushoto tukutane hapa

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
3,897
5,354
Mimi ni mmoja wa watu wanatumia viungo vya mikono na miguu vyote vya kushoto,nimesikia kwamba watu Hawa ni makini na wenye maamuzi hata magumu na ni wenye weredi wa Hali ya July Mfano:F.Kennedy(Raisi wa Marekani),George Bush,jr(Rais wa Marekani)Obama(Raisi wa Marekani)Uhuru Kenyata(Rais wa Kenya).Bondia MannyPaque mbunge na mtu anayeheshimika Ufilipino na Nk.

Usitukane Jenga hoja.
 
Mimi ni mmoja wa watu wanatumia viungo vya mikono na miguu vyote vya kushoto,nimesikia kwamba watu Hawa ni makini na wenye maamuzi hata magumu na ni wenye weredi wa Hali ya July Mfano:F.Kennedy(Raisi wa Marekani),George Bush,jr(Rais wa Marekani)Obama(Raisi wa Marekani)Uhuru Kenyata(Rais wa Kenya).Bondia MannyPaque mbunge na mtu anayeheshimika Ufilipino na Nk.Usitukane Jenga hoja.
Kwenye hiyo mifano Yako umeona Kuna umaskini au maamuzi yapi ya maana walifanya hao uliowataja?
 
Mimi ni mmoja wa watu wanatumia viungo vya mikono na miguu vyote vya kushoto,nimesikia kwamba watu Hawa ni makini na wenye maamuzi hata magumu na ni wenye weredi wa Hali ya July Mfano:F.Kennedy(Raisi wa Marekani),George Bush,jr(Rais wa Marekani)Obama(Raisi wa Marekani)Uhuru Kenyata(Rais wa Kenya).Bondia MannyPaque mbunge na mtu anayeheshimika Ufilipino na Nk.Usitukane Jenga hoja.
Mimi natumia mguu wa kushoto na kuandika pia natumia mkono wa kushoto, ila mpaka sasa bado ni choka mbaya japo nilikuwa nasifiwa darasani nina akili
 
Mimi natumia miguu wa kulia Ila mkono ni full mashotooooo
 
Mimi natumiankwenye kila kitu mguu wa kushoto na mkono wa kushoto ila isipokua kuandikantu natumia mkono wa kulia watu wengi wananishangaa sana hivi kuna mtu yupo kama mm
Mkuu mimi natumia mkono wa kulia ila mpirani napiga left foot. Mguu wa kulia hauna nguvu, sijui inakuaje hii
 
Jamaa wa mguu wa kushoto bna kwa wanopiga ball hsa Namba 11 walikuwa wanapiga vyenga hatari hsa za kufinya ukienda kumkaba uende kw tahadhari
 
Mimi natumiankwenye kila kitu mguu wa kushoto na mkono wa kushoto ila isipokua kuandikantu natumia mkono wa kulia watu wengi wananishangaa sana hivi kuna mtu yupo kama mm
na mimi hapa, mpira natumia miguu yote but left at most, kuandika kulia, kazi ngumu zote mkono wa kushoto, kiufupi watu hawanielewi
 
Nadhan umakin hauhusiani na swala la miguu na mikono ya kushoto .Mm natumia yote lakini nipo makini sana
 
Back
Top Bottom