Wanasubiri yatokee...

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
...halafu ndio wanakuja na tabiri zao mmavi mmavi.
Hii mamlaka ya utabiri wa hewa sijui wakoje, ajali imetokea ndo wanatoa tahadhari kuwa kutakuwa na upepo mkali pwani ya kusini. Walikuwa wapi kutupa tahadhari mapema?
...manina!
 
Mphamvu nani tena kakuchokoza, isijekuwa ni yuleeeeeeeee kakinukisha tena?? hii nchi ndio kwanza kikwete anakamilisha kafara zake, na watasema chadema wamesababisha! pole Mphamvu, lol!
 
Last edited by a moderator:

Mbona ushanifanya mie wa kulalama tena? Ni hawa mamlaka ya angani wangu, hata wakati wa mvua za mafuriko walizingua hivi hivi...
Hujambo lakini?
 
Back
Top Bottom