Wanasiasa wafika lakini simu za mkononi zakwama kutinga loliondo

Iga

Senior Member
Dec 17, 2007
112
6
NA KELELE zao zote za kufika Usambaani na Unyakyusani kwanza Wamiliki wa Makampuni ya simu za mkononi hawajawa na ubavu wa kufika Samunge, Sale, Loliondo. Pengine wanaona Wamasai baada ya kukosa Waziri Mkuu hawana maana tena au wanafikiri kwa makosa kuwa biashara ya babu ni ya muda. Wamechemsha!

Au pengine wakubwa wanaogopa mvua na tope ? Hongera mgosi nasikia una simu toka nje ambayo hata umeme wake unatoka nje na haikatiki. Heri yako wewe ndugu na gharama zake nasikia ni sawa na bure!
 
Back
Top Bottom