REBEL
Senior Member
- Dec 15, 2010
- 166
- 64
Napenda nieleweke hapa siongelei kuhusu wanasiasa wetu wana masters au phd ngapi maana sisi tumeishasoma vyuoni na kuona watu wanavyocopy na kupaste thesis na research zao.Ninachota kuongelea hapa ni wanasiasa wetu ni watu ambao hawana mvuto wa kujenga hoja maana vichwani mwao hamna kitu. Hii inachangiwa na kutokuwa na utaratibu wa kujisomea vitabu na makala za tafiti mbalimbali.Na inavyoonyesha vitabu walisoma wakiwa wanasomea mitihani tu au walikuwa wanapenda kusoma notices tu.
Kuna wanasiasa wakiongea uwa unaona wanasoma na hata kama hawasomi wanajua kupanga hoja.Mfano mzuri katika hapa ni mwalimu Nyerere,Pinda,Mnyika,dk.slaa,wakili tundu lissu.Wengine ni Mkapa,
Mimi mwanasiasa anayenikera kwamba hajui kujenga hoja na hawezi kushwawishi msomi yoyote kumsikiliza ni Nape nauye.Huyu mtu nasikia amesoma mpaka shahada ya pili lakini ni mtu ninayemuona mweupe sana kichwani.Mwingine ninaye muona ni mtu wa ajabu lakini wananichekesha ni wasirra na LUsinde.
Wito wangu wanasiasa muwe mnasoma mtafanya watu(hasa wasomi wachukie vyama vyenu).huu ni ushauri wa bure.