Mziba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2010
- 245
- 109
Huyu Slaa naona anahitaji msaada wa wanasheria. hii jumuiya yenu inaheshimika na watanzania wote. zungumzeni ukweli. hali za watu wa vijijini na watu wengi wa mijini ni mbaya mno sote tunazifahamu. nyie mnajua. Democrasia imefuatwa sasa imekuaje? watu wanataka jemadari mungine wazee hata mzee nyerere sialikubali kuondoka,. Sasa wakuu mnamsimamo gani. Mimi ni Muhasibu.