Kama ishu Ni Kodi mbona inalipwa mkuu,Kodi kila sehemu…kuna siku watataka wanaojamiiana nje ya ndoa wajisajili
Sio wote wanaoenda kwenye massage Ni kwa ajili ya ngono,Huduma za massage Bongo ni majumba ya ukahaba tu,hapo wengi watafunga huduma,maana watakaosajiliwa ni wachache sana wenye vigezo.
ha ha ha....Wanataka kudhibiti utamu wa mabaharia
Wazeeee wa happ ending mpo??
Sio wote wanaoenda kwenye massage Ni kwa ajili ya ngono,
Ile Ni Tiba mbadala Kama tiba zingine mkuu
Acha upotoshaji bhana
Mliko toka wapiMbona kama tunarudi tulipotoka?
Hivi hiyo massage inafanywa na mwanamke au mwanaume?Kuna wale wakuwapigia simu waje hotelini au ghetto bado hawajatukomoa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Unafanyiwa na mwanamkeHivi hiyo massage inafanywa na mwanamke au mwanaume?
kama ni mwanamke, unaachaje kudindisha kwa kushikwashikwa na kukandwa kandwa na mwanamke mwili mzima?
na si ndo umalaya na ukahaba wenyewe unapoanzia hapo?
Wewe wasema....Massage room ni vyumba vya kuanyia ngono vilivyojificha
Wee unachoongelea Ni hizo nuru massage na sio massage za kitabibuUnafanyiwa na mwanamke
Ndio kudindisha kupo
Huduma ya kutafuna ipo wanaita happy handing
Mwisho namalizia hakuna mkamilifu maana hata wewe unae kula demu bila ndoa au una mchepuko hauna tofauti na kahaba wote mnazini
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huwa mnajifanya mnaenda tibu mgongo sister na kasauti kake na uchokozi wa mikono mnamalizaga na happy endingWee unachoongelea Ni hizo nuru massage na sio massage za kitabibuView attachment 2082384
Massage zinasaidia Sana hasa Kama wee Ni mchakalikaji wa wiki nzima.Huwa mnajifanya mnaenda tibu mgongo sister na kasauti kake na uchokozi wa mikono mnamalizaga na happy ending
Kwani sijui kaka embu tuachage unafki
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app