Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

Upinzani mpaka sasa haupo tayari kuungana kuikabili CCM na kuishinda, hawa ni kwa sababu ni wabinafsi na hawana ajenda ya Pamoja lakini pia hawana fedha, uchaguzi ni fedha.

Lakini kwa maoni yangu kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa CCM iachane na Rais Samia tu hafai kuongoza chama hicho na Nchi amalizie muda wake na aende tu.

Sasa hawa ndo wanaotajwa sana kwenye kiti cha Urais 2025 au 2030.

1. Philipo Mpango.
2. Josephat Gwajima.
3. January Makamba
4. James Mbatia
5. Zitto Kabwe
6 Freeman Mbowe
7. Tundu Lissu
8.Dr Wilbroad Slaa
9. Dr Mwigulu Nchemba
10. Hussain Ally Hassan Mwinyi
11. Kasim Majaliwa
12. Dr Tulia Akson

Twende na yupi kwa maslahi ya Taifa.
tuwaache wote hapo.
 
katika wote hao hayuko anayetufaa wame prove failure kwenye nafasi walizoshika.
 
Upinzani mpaka sasa haupo tayari kuungana kuikabili CCM na kuishinda, hawa ni kwa sababu ni wabinafsi na hawana ajenda ya Pamoja lakini pia hawana fedha, uchaguzi ni fedha.

Lakini kwa maoni yangu kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa CCM iachane na Rais Samia tu hafai kuongoza chama hicho na Nchi amalizie muda wake na aende tu.

Sasa hawa ndo wanaotajwa sana kwenye kiti cha Urais 2025 au 2030.

1. Philipo Mpango.
2. Josephat Gwajima.
3. January Makamba
4. James Mbatia
5. Zitto Kabwe
6 Freeman Mbowe
7. Tundu Lissu
8.Dr Wilbroad Slaa
9. Dr Mwigulu Nchemba
10. Hussain Ally Hassan Mwinyi
11. Kasim Majaliwa
12. Dr Tulia Akson

Twende na yupi kwa maslahi ya Taifa.
Kati ya hao hakuna hata mmoja anafaa kuwa rais wa JMT!
 
Uelewa wa mambo ya utawala ni pamoja na kuajiri wasio na sifa,kulipa wasiokuwapo,kujimilikisha vitu vya uma km bandari,tra,idara ya ardhi nk wafanyakazi ni wazembe,wajeuri,wezi na Kila aina ya ujinga, kwenye hali kama hiyo.MAGU action was right.
Magu huyo huyo 🤣🤣🤣🤣
 
Aliokua anawateua wana sifa..? Wale aliowapa udc urc nk mafia wenzake. Ana watumbua afu bado anawalipa.🤣🤣🤣🤣 Magu alijuq kucheza na saikolojia ya watz wachini maana anajua maskn tuna penda kusikia tajiri anapata shida. Bila kujihurumia kuwa sisi ndio tutakao umia
 
Siyo habari saikolojia ni habari ya kupeleka shida Yako na kutatuliwa tatizo lkn Leo hata pa kusema hapo uzembe tunaouona kwenye Kila idara haunipi hamu ya utwala huu ingawa wewe unaona fahari kuniambia ni rudi kesho mara ya tatu tena Kwa mbwembwebu ukijua sina pa kwenda. Sisi unaotuita maskini ndiyo taifa waambie na wenzako.
 
Upinzani mpaka sasa haupo tayari kuungana kuikabili CCM na kuishinda, hawa ni kwa sababu ni wabinafsi na hawana ajenda ya Pamoja lakini pia hawana fedha, uchaguzi ni fedha.

Lakini kwa maoni yangu kwa hali ya kisiasa ilivyo sasa CCM iachane na Rais Samia tu hafai kuongoza chama hicho na Nchi amalizie muda wake na aende tu.

Sasa hawa ndo wanaotajwa sana kwenye kiti cha Urais 2025 au 2030.

1. Philipo Mpango.
2. Josephat Gwajima.
3. January Makamba
4. James Mbatia
5. Zitto Kabwe
6 Freeman Mbowe
7. Tundu Lissu
8.Dr Wilbroad Slaa
9. Dr Mwigulu Nchemba
10. Hussain Ally Hassan Mwinyi
11. Kasim Majaliwa
12. Dr Tulia Akson

Twende na yupi kwa maslahi ya Taifa.
Ondoa Namba 3 ,9 na 12 hawafai kwa chochote kwa mustakabali wa Taifa.Baada ya hapo Ongeza William Lukuvi.
 
Back
Top Bottom