Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Jambo lakimaskini na kifukara la wanasiasa hafifu kifikra nikufikia hatua yakusifia lugha.
Nilichukizwa na Kiswahili kutumika kisiasa awamu ya Tano na watu wenye madaraka kuacha kushughulika na matatizo ya wananchi nakufungua mjadala wa kiswahili.Wasiojua kiswahili wakatuamunisha kutumia kiingereza ni utumwa na ubeberu. Divide and rule
Awamu ya Sita imeingia hakuna anayehoji ubora na nafasi ya hotuba za mama HUKO Dunia, watu Wapo busy kujadili mama kaongea kiingeza. Watu Hawa ni walewale waliotuambia waongea kiingereza ni mabeberu. Je, ubeberu umeisha?