Higash
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 839
- 149
unafkr akivua joho ataacha kumtumia mungu? joho ni uniform tu utumishi haufi.Huyo kiongozi aliesema hivyo atakuwa hana adabu na inafaa kuepukwa ,hivi ni katika maandiko au aya gani ameona kauli hiyo,kwa maneno hayo kama ameyasema huyo Padre basi ni bora huyo aliesema ya kuvua majoho.Maana Slaa amevua joho la upadre na sasa yupo kwenye ulingo ,nyie wengine acheni kufurahikia mambo yachunguzeni kwanza, nionavyo ni kweli kabisa kuwa wanaotaka kuingia siasa wavue majoho vyenginevyo watatukufurisha.