Wanaopinga mahakama Kadhi "Intellectual Arguments" only

Status
Not open for further replies.
Hapo kwenye red naomba source.

@shizukan
Wanawake waislam wanapenda hukumu za kiislam sana tu, na katika jamii inayoongoza kwa kuingia katika haki ni wanawake duniani ..

naomba ujibu yale maswali with intellect, siyo ushabiki bearing in mind tuna waislam 50% in Tanzania ok
 
@matola hkuna sheria ya kiislam inyomzuia mwanamke kuendesha gar hyo ni sheria ya saaud aarabia tu ndo bi khadija mke wa mtu alikua akingoza misafara ya biashara na hakukatazwa nn kurndesha gar
 
Halaf mnapofananisha uislam na kabila ni vitu tofauti kabisa maana uislam haubadilikibadiliki kama sheria za makabila na pia uislam upo kote hata kwenye hayo makabila.pili sheria za makabila zimetungwa na watu kutokana na experience zao lakin za kiislam ni za alieumba hao watu zp zitakua bora?
 
@matola hkuna sheria ya kiislam inyomzuia mwanamke kuendesha gar hyo ni sheria ya saaud aarabia tu ndo bi khadija mke wa mtu alikua akingoza misafara ya biashara na hakukatazwa nn kurndesha gar
Saudia ni Jamhuri ya kiislamu na inaendeshwa kwa sheria za kiislamu na ndio nchi ambayo Mtume Muhamad alikuwa Raia wa nchi hiyo.
Una lingine?
 
Halaf mnapofananisha uislam na kabila ni vitu tofauti kabisa maana uislam haubadilikibadiliki kama sheria za makabila na pia uislam upo kote hata kwenye hayo makabila.pili sheria za makabila zimetungwa na watu kutokana na experience zao lakin za kiislam ni za alieumba hao watu zp zitakua bora?
Makabila yalikuwepo kabla ya uislamu na ukristo hapa Tanganyika na kabila ndio kitu chenye nguvu kuliko dini na ndio maana hakuna sehemu yoyote ya kubadili kabila, bali dini unaweza kuzibadili kama chupi tu.
Am very proud kuhusu kabila langu na sio hizi dini za kitumwa kutoka kwa waarabu na wazungu.
 
Saud arabia ya mtume si hii ya sasa angalia familia ya kifalme wanavyofanya ni mafundisho ya kiislam yale mke wa mfalme hata hijab havai saud arabia kuna kila aina ya stareh ambazo ni haram wao wanatumia baadh tu ya sheri mbona iran jamhur ya kiisla mpaka mpira wa miguu wanawake wanacheza husem
 
Mi nina swali kwa mr. intellectual kwanini waislamu wanataka mahakama ya kadhi ianzishwe na serikali? NAOMBA MAJIBUN YA KIINTELLECTUAL TU.
 
Unaposema makabila yameanza kuliko din unakosea maana God alituma wajumbe wake kila society dunian kwa yesu na mohammad sio wao peke yao waliokuja kutangaza din walikuja manabii kila pande ya dunia.na din ni mfumo wa maisha ya binadam mtu huwez kuish bila kua na mfumo wa maisha
 
Skiza ndugu. Serikali ilitoa tamko..waislamu waishio tz wana haki ya kuanzisha mahakama ya kadhi, ila serikali kama serikali haiwezi kuanzisha mahakama ya kadhi, na hyo ni kwa sababu serikali haina dini...kwa mfano siyo taifa ndo limejiunga na jumuiya za wakristo ila ni jumuiya za wakristo tanzania ndo zimejiunga na jumuiya za kikristo kimataifa...tafakari kwa umakini zaidi ndugu.
 
Kwann isiweze ndo pakushangaza kenya na uganda kuna nn na hapa kuna nn.kwan uganda nchi ya kiislam mbona wako ois.kama kitu hakina madhara kwa din nyingine sion sababu ya kukatalia.weng wasio waislam hawajui mahakama ya kadh itafanya kaz vp ndo mana weng wanapinga
 
Saud arabia ya mtume si hii ya sasa angalia familia ya kifalme wanavyofanya ni mafundisho ya kiislam yale mke wa mfalme hata hijab havai saud arabia kuna kila aina ya stareh ambazo ni haram wao wanatumia baadh tu ya sheri mbona iran jamhur ya kiisla mpaka mpira wa miguu wanawake wanacheza husem
Kama Saudia hii sio ile ya Mtume Muhamad, sasa huwa mnakwenda kuhiji Saudia ipi? na kama wewe unawashangaa wao Saudia wenye mtume wao Muhamad sasa maamuma kama wewe huoni kama umedandia treni kwa mbele kwamba unafuata mkumbo tu?
 
Assume wewe ni muislam na una wake watatu na watoto 5:4:3 yaani 12 jumla kwa wake watatu..umefariki

Kwa sheria za ndoa ya 1971; ugawaji wa urithi huo hauwezekani japo muislam huyu aliruhusiwa kuoa kiislam

Kwanini mali yake isigawanywe kiislam?? tunataka kadhi wawasaidie hao wanawake, watoto kuhusu mgawanyiko wa mali ya muumini huyu.. siyo voluntarily iwe sheria kabisa na hukumu itolewe na mahakama..ok

Ndio maana tunataka mahakama ya Kadhi..

NB: Naomba wale wenye hasira na uislam na waislamu watuache kwanza tuseme kwanini tunataka mahakama ya kadhi ili mtuelewe

Jibu rahisi acha wosia.......basi.....na uelimishe wenzio wote umuhimu wa kufanya hivyo.....sio unazaa halafu unataka kodi zetu zitumike kukugawia mali zako
 
Mtume muhamad sio wasaudia ni wadunia nzima halaf makkah imejengwa na abraham yule yule wenu.halaf huwez kusema gari bov kwa sababu dereva mbovu kalipatisha ajal.
 
...Nitaendelea na intellectual argument anyway kama ifuatavyo:
...Mshahara mbona ni kitu kidogo sana? ....utahitaji network ya kutosha.Tanzania ina ukubwa wa maili 362,000! ....Unafikiri tatizo ni mshahara wa mahakimu tu? ...
Yesu Kristo alishauri ukifika kwenye harusi kaa nyuma nyuma, kama unastahili kukaa high table watakuita mbele wenyewe, ukijikalisha mbele pakawa sipo, ukatimuliwa, ni fedheha.

Similarly, acha wengine tuseme hoja yako ni "intellectual argument," ukiita hivyo mwenyewe, ukachemka, ni fedheha. Kwanza hakuna kitu kama ukubwa wa maili 362,000, huo ni urefu wa kamba au wa barabara. Pili, malipo ya wafanyakazi wa mahakama hizo hayawezi kuwa "kitu kidogo sana" wakati wewe mwenyewe umesema, msingi wa hoja yako ya kupinga mahakama hizi ni, "resources za ziada kutoka kwa walipa kodi." Kumbe hizo resources ni nini kama sio administrative costs ambazo kikubwa chake ni payroll and benefits?

Moja ya unpalatable aspects ya mahakama hizi ni kuongeza ukubwa serikali. Zilizopo zimeshatushinda, wafanyakazi kila kona ya nchi mishahara haitoshi au hawalipwi, sidhani kama unaweza ku minimize dimension hiyo ya costs.


... mfumo parrallel utakaohitaji resources za ziada kutoka kwa walipa kodi... Ndio maana Tanzania haina sheria moja ya mirathi: ziko tatu ... za kidini ( kwa waislam) .
 
Mtume muhamad sio wasaudia ni wadunia nzima halaf makkah imejengwa na abraham yule yule wenu.halaf huwez kusema gari bov kwa sababu dereva mbovu kalipatisha ajal.
Mtume Muhamad ni raia wa Saudi Arabia na kaburi lake lipo Saudi Arabia, ni kipi hapa usichokielewa? kwani Manchester United si ni club ya Uingereza lakini ina mashabiki dunia nzima? sembuse Mtume Muhamad!!
 
Nan kakataa kwamba katokea saudia ndugu?
Nilitaka ulielewe hili kwamba Mtume Muhamad alizaliwa Saudia na ni raia wa Saudia Arabia na alifia Saudi Arabia na akazikwa Saudi Arabia na kaburi lake lipo Saudi Arabia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom