Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,185
- 3,547
Wadau!
Lleo nilikutana na mfanyakazi mmoja wa Serikalini, niliongea nae kuhusu ni jinsi gani mtu anaweza kupata ajira ndani ya Jeshi la JWTZ, Usalama wa Taifa na taasisi zilizopo chini ya idara hiii kama TAKUKURU, Uhamiaji na taasisi nyingine nyeti, ni kupitia JKT.
1. Ameniambia utaratibu mpya wa vijana kujiunga na JWTZ ni kupitia kwanza mafunzo ya JKT.. Wameniambia kwa sasa huu ni utaratibu mpya wa sasa kwamba JKT kwanza halafu badae ndo unajiunga na jeshi.
2. Kuhusu kujiunga na kupewa ajira idara kama Usalama wa Taifa na taasisi kama TAKUKURU ni kupitia JKT mkifika hukoo ndo sana baadhi ya vijana huchaguliwa na kupelekwa kufanya kazi kwenye idara hizi.
Kabla ya kuanza baada ya mafunzo hayaa mnapelekwa kwenye chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, huko na pia idara hizi ni kupitia JKT huchukua vijana kupitia idara hizi.
3. Kuhusu kujiunga JKT ni kuwa JKT hutoa nafasi za mafunzo kwa vijana wanaopenda sana kujitolea kwani JKT hutoa nafasi hizo kwa vijana wanaopenda kujitolea kwenda kupewa mafunzo ya kijeshi na ulinzi .
Pia JKT..huwa wanatangaza nafasi kwa vijana wa kitanzania ambao wanaopenda na sifa za vijana huanzia darasa la saba mpaka elimu ya chuo.
Kumbuka: Mnaweza mkaenda watu watu wengi ila si yote watakao ajiriwa kujiunga JKT ila baada ya kuhitimu utapata mafunzo yatayokusaidia.
Soo kuhusu watu ambao wapoo mtaani wanawambia kuwa watakutafutia kazi tiss,JWTZ,TAKUKURU, Uhamiaji ambao watu wanataka utoe pesa wakusaidie upate kazii kaa ukijua unatapeliwa...ni hayoo tuu