Wanaopenda kujua kuhusu Kujiunga na JWTZ na Vikosi Vingine vya Usalama

Anachosema jamaa hapo juu kina ukweli lakn si asilimia mia.

Kwa ninavyofahamu mimi hasa kwa upande wa Magereza ni kwamba wanachanganya, namaanisha kuwa JKT kiasi huwepo, fom 4, form 6 na graduate mbalimbali lakini si kwamba wote lazima wawe ni JKT.
 
Kweli mdau KIEMBE nmekusoma vzur, the fact ya hapa town kam huna mtu wa kukushika mkono hakika itakua imekula kwako, bt haina noma wadau wa kunishka mkono wapo kbao, ktaeleweka tu, nshaanza kupga tz la maana
 
Nimeongea na afisa mmoja anayehusika na mambo ya ajira upande wa JKT nimepewa haya maelezo Magereza wamechukua jkt mwezi wa pili, polisi wamechukua nusu jkt nusu mtaani, uhamiaji wamechukua mtaani, takukuru wametangaza mtaani ingawa baadhi ya post walikuwa wanataka uwe umepitia jkt, tiss wamechukua jkt, tanapa wamechukua jkt. Hii mambo naona siku hizi kama hamna formula maalumu, ila ukitaka jwtz LAZIMA upitie JKT kwa sasa hivi. Mimi ngoja nifundishe tu karibuni UDOM
 
Kuna dogo apa alifeli form 4 ana div 4 ya 30 ila alisoma certificate ya ufundi sasa swali ni je wataconsider vyeti vya sekondari kua amefeli au wata angalia certificate yake ya ufundi tu! Kwa anaejua pls
 
Ok Mkuu udagadagaa nafasi ni mwezi wa 12 na january hii ni confirmed kwa sasa jeshi halina hela za kuajiri so subiria uende jkt then TPDF. ahsante.

nafasi lini mana. tumechoka kuzunguka na bahasha.over 2013
 
Last edited by a moderator:
mikazó;8355498 said:
Mbna jkt awamu hii hawatak watu wa degree na diploma?
watatoa tu ucjal au kwa uhakika zaidi nenda kwa mshauri wa mgambo den atakupa taarifa kamili au andika barua ya kuonesha nia ya kujiunga na J.K.T kwa mkuu wa jeshi la kujenga taifa.
 
So! Mhesimiwa iv unaweza kupitia jkt alafu usipate ajira yoyote ndani ya serikari.kwa mfno itakua ngumu kuingia jwtz?
 
Back
Top Bottom