Wanaokataliwa na Wananchi Wananafasi kubwa ndani ya CCM na Serikali yake

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Ni aibu tena aibu ya mchana kweupe, watu wanaokataliwa na wananchi, ccm na serikali yake inawafanya mali tena adimu sana ndani ya jamii.

Deodatus Kamara-Balozi
Eng. Msekela
Mantumu mahiza-RC
Ludovick Mwananzilla-RC
Antony Diallo-Mwenyekiti Mkoa
Mghana Msindai Mwenyekiti Mkoa
Lawrence Masha-Mjumbe NEC

Na wengine wengi ambayo unaweza kuwaongeza kwa hiyo orodha.

Je kama wananchi wanawakataa harafu wanakuwa mali kwa chama na serikali, wananchi watoe adhabu gani kwa chama na serikali yake?? Je rais ambaye ndo mwenye chama na serikali kwa pamoja, ni rafiki au ndege mwenye rangi moja na hao wanaokataliwa na wananchi? Je rais ni wa wananchi?? kwa ajili ya wananchi na serikali yao?

Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom