freethinker
Member
- Nov 1, 2010
- 29
- 0
Polisi wasambaratisha watu wanaosubiri watokeo ya ubunge Nyamagana-Mwanza
Damu itamwagika wawe makini sana na majimbo haya ya Mwanza
Nyie mnaojidai kutoa vitisho hamna maana yoyote, nyie ndio waoga km kunguru muoga, fujo zikianza mnakuwa wakwanza kujifungia ndani kwenu, acheni vitisho vya kuandika post huku mmeficha majina yenu, km kuna kidume kweli humu ndani andika jina lako kamili na vitisho vyako ndio utajua maana ya umwagaji damuHawa wasitake kuchezea amani ya nchi yetu kwa ubinafsi wao. Ni bora wao wachache waangamie watuachie nchi yetu ikiwa na amani. Ee Mungu ibariki nchi yetu, tuepushe na hila za waovu hawa.