Wananchi wa Iramba Magharibi Wamuomba Dk. Kitila Mkumbo akagombee Ubunge kule kwa Nchemba.

Kutokana na msimamo usioteteleka alionao Dk. Kitila mkumbo katika kuwatetea wananchi......pasipo kuogopa kunyimwa mkataba kama ilivyo kwa Baregu na Rwaitama............ameombwa na wananchi agombee jimbo la Iramba magharibi ili ashirikiane na Tundu Lissu kwa Ukaribu ili kuahkikisha Iramba yote inaendelea.

Ikumbukwe kuwa kwa sasa Mbunge wa Iramba Magharibi ni Mwigulu Nchemba ( Mchumi 1[SUP]st[/SUP] Class!!)

Hapa karata njema. Na Mkumbo akienda tu pale Zero class Uchumi kwisha. Mkumbo upo!!! unategemewa sana our expert. Nakuaminia.
 
kitila alifanya mauaji kule ndago na kesi inaendelea mahakamani,haijulikani itaisha lini.
Kitila alimuua nani na lini? Wenye kesi za mauaji hawana dhamana!! Kitila tunaye!! sasa alimuua nani? Ingekuwa na dhamana Papa Msofe na hela zote angetoka. Sasa mkuu unafikiri kuua ni kitu kidogo?
 
Kutokana na msimamo usioteteleka alionao Dk. Kitila mkumbo katika kuwatetea wananchi......pasipo kuogopa kunyimwa mkataba kama ilivyo kwa Baregu na Rwaitama............ameombwa na wananchi agombee jimbo la Iramba magharibi ili ashirikiane na Tundu Lissu kwa Ukaribu ili kuahkikisha Iramba yote inaendelea.

Ikumbukwe kuwa kwa sasa Mbunge wa Iramba Magharibi ni Mwigulu Nchemba ( Mchumi 1[SUP]st[/SUP] Class!!)

Mkuu hayo yalikuwa maadhimio ya kile kikao cha msimbazi center?
 
Kutokana na msimamo usioteteleka alionao Dk. Kitila mkumbo katika kuwatetea wananchi......pasipo kuogopa kunyimwa mkataba kama ilivyo kwa Baregu na Rwaitama............ameombwa na wananchi agombee jimbo la Iramba magharibi ili ashirikiane na Tundu Lissu kwa Ukaribu ili kuahkikisha Iramba yote inaendelea.

Ikumbukwe kuwa kwa sasa Mbunge wa Iramba Magharibi ni Mwigulu Nchemba ( Mchumi 1[SUP]st[/SUP] Class!!)

Hii habari mbona imekaa kuishabiki shabiki na haiko timilifu? Walimu omba alikuwa wapi? Na wamemuomba kwa njia ipi? Isije kuwa mtu mmoja tu amesema kwenye kijiwe cha kahawa ukamsikia unaleta humu Uzi ooh wana singida wamemuomba. Kwa jimbo Hilo asahau Mwigulu Ana mizizi ya chuma ambayo haitoleki kwa greda
 
Hawa wananchi watakuwa wapuuzi sasa, mbona waliniomba na mimi nije nigombee ubunge jimbo hilo 2015..
 
nahisi wananchi wamemchoka MWIGULU, sababu kila siku anashinda igunga na dar hivyo anakosa muda wa kuhudumia wananchi.

si unajua Igunga kuna ile kitu aliyofumwa nayo nafikiri ilikuwa tamu sana ndio maana kila akiikumbuka lazima aende!
 
Hawa wananchi watakuwa wapuuzi sasa, mbona waliniomba na mimi nije nigombee ubunge jimbo hilo 2015..

wewe waliokuomba ni wale mliokutana kwenye gongo zenu sio wananchi wenye akili timamu!!
 
Litakua jambo jema sana maana huyu bwana anajifanya mzalendo kweli kumbe nae mbababishaji tuu
 
MKUMBO ni kiwango cha juu sana kulinganisha na MWIGULU. Ila DR aweke msimamo wake clear kwn amekuwa mfuasi wa Zito hata kwny mambo ya Maslahi binafsi yasiyo ya chama wala ya NCHI.
 
Back
Top Bottom