Naona serikali ndio chanzo cha yote yanayoendelea hapa bongo,kama wangeboresha huduma za afya hakuna daktari ambaye angegoma na kusababisha wagonjwa kufa.kwa hiyo mm naona muuaji ni serikali na si daktari.ambaye amesoma kwa tabu.cha msngi wananchi tuilaumu serikali mliyoiweka madarakani wenyewe.na kuipa mamlaka yote hadi ya uhai wenu.bora ckupiga kura