Wananchi msifanye makosa 2020 ya kuchagua wabunge wanaosusa Bungeni

  1. Tarehe 30 Mei 2014, siku ya Ijumaa, wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini ambapo Waziri Kivuli wa wizara hiyo alikuwa John Mnyika, walisusa Bunge na kutoka nje baada ya kutokuwa na hoja za kupambana na Prof. Muhongo.
  2. Leo tatehe 2 Juni 2017, siku ile ile ya Ijumaa, wabunge wale wale wa Upinzani kwenye Mjadala ule ule wa Bajeti ya Wizara ile ile ya Nishati na Madini, chini ya Waziri Kivuli yule yule John Mnyika, wanasusia tena Bunge na Kutoka nje safari hii Wizara hiyo ikishikiliwa kwa muda na Charles Mwijage.
  3. Wizara ilipokuwa chini ya Profesa, CHADEMA waliweka mpira kwapani. Sasa Prof hayupo, wanaweka mpira kwapani. Hapo ndipo utakapojua kwa nini siku zote KIVULI kina rangi NYEUSI hata kama ni cha Mzungu.
  4. 2020 sifanyi Makosa. Nitamchagua tena Rais Magufuli, Mbunge wa CCM na Diwani wa CCM ambao wanatuwakilisha vema kwenye vikao.
Tunajua cha kufanya cha kwanza ni kuwapiga chini was idadi kubwa iwezekanavyo wabunge wa CCM ambao ndio tatizo
 
Wanajadili Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini. Hoja ya Mchanga wa Makinikia ni mojawapo. Nyie endeleeni kutetea ACACIA kwenye facebook
Wanajadili nini wakati sheria za uchimbaji gesi na madini zinazo wapa hao ACACIA mamlaka ya kuinyonya nchi walizipitisha wao!!! Fake politicians bora watokeeeeer
 
  1. Tarehe 30 Mei 2014, siku ya Ijumaa, wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini ambapo Waziri Kivuli wa wizara hiyo alikuwa John Mnyika, walisusa Bunge na kutoka nje baada ya kutokuwa na hoja za kupambana na Prof. Muhongo.
  2. Leo tatehe 2 Juni 2017, siku ile ile ya Ijumaa, wabunge wale wale wa Upinzani kwenye Mjadala ule ule wa Bajeti ya Wizara ile ile ya Nishati na Madini, chini ya Waziri Kivuli yule yule John Mnyika, wanasusia tena Bunge na Kutoka nje safari hii Wizara hiyo ikishikiliwa kwa muda na Charles Mwijage.
  3. Wizara ilipokuwa chini ya Profesa, CHADEMA waliweka mpira kwapani. Sasa Prof hayupo, wanaweka mpira kwapani. Hapo ndipo utakapojua kwa nini siku zote KIVULI kina rangi NYEUSI hata kama ni cha Mzungu.
  4. 2020 sifanyi Makosa. Nitamchagua tena Rais Magufuli, Mbunge wa CCM na Diwani wa CCM ambao wanatuwakilisha vema kwenye vikao.
Kuliko wabunge wa ccm ni bora jimbo lisiwe na mbunge. Hatuwezi kuwa na wawakilishi wasio na uwezo wa kureason kazii yao ni ndiyoooo. Nitaendelea kuchagua mbunge wa upinzani (CHADEMA) na hata sasa ndiyo mwakilishi na anafanya vizuri. Wewe na tumbo lako endelea kuchagua kina kibajaji
 
Back
Top Bottom