Wananchi msifanye makosa 2020 ya kuchagua wabunge wanaosusa Bungeni

  1. Tarehe 30 Mei 2014, siku ya Ijumaa, wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini ambapo Waziri Kivuli wa wizara hiyo alikuwa John Mnyika, walisusa Bunge na kutoka nje baada ya kutokuwa na hoja za kupambana na Prof. Muhongo.
  2. Leo tatehe 2 Juni 2017, siku ile ile ya Ijumaa, wabunge wale wale wa Upinzani kwenye Mjadala wa ule ule wa Bajeti ya Wizara ile ile ya Nishati na Madini, chini ya Waziri Kivuli yule yule John Mnyika, wanasusia tena Bunge na Kutoka nje safari hii Wizara hiyo ikishikiliwa kwa muda na Charles Mwijage.
  3. Wizara ilipokiwa chini ya Profesa, CHADEMA waliweka mpira kwapani. Sasa Prof hayupo, wanaweka mpira kwapani. Hapo ndipo utakapojua kwa nini siku zote KIVULI kina rangi NYEUSI hata kama ni cha Mzungu.
  4. 2020 sifanyi Makosa. Nitamchagua tena Rais Magufuli, Mbunge wa CCM na Diwani wa CCM ambao wanatuwakilisha vema kwenye vikao.
Una TETEMEEEKAAAAAAA
 
Kweli tuchague wale wanaosema ndioooo na kuletea sheria na mikataba mibovu kabisa
 
Chenge ana akili sana, kaona uchochoro ni CCM maana ni msomi pekee ndani ya CCM, akiongea jambo wote wanasema ndiyo.
 
  1. Tarehe 30 Mei 2014, siku ya Ijumaa, wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini ambapo Waziri Kivuli wa wizara hiyo alikuwa John Mnyika, walisusa Bunge na kutoka nje baada ya kutokuwa na hoja za kupambana na Prof. Muhongo.
  2. Leo tatehe 2 Juni 2017, siku ile ile ya Ijumaa, wabunge wale wale wa Upinzani kwenye Mjadala wa ule ule wa Bajeti ya Wizara ile ile ya Nishati na Madini, chini ya Waziri Kivuli yule yule John Mnyika, wanasusia tena Bunge na Kutoka nje safari hii Wizara hiyo ikishikiliwa kwa muda na Charles Mwijage.
  3. Wizara ilipokiwa chini ya Profesa, CHADEMA waliweka mpira kwapani. Sasa Prof hayupo, wanaweka mpira kwapani. Hapo ndipo utakapojua kwa nini siku zote KIVULI kina rangi NYEUSI hata kama ni cha Mzungu.
  4. 2020 sifanyi Makosa. Nitamchagua tena Rais Magufuli, Mbunge wa CCM na Diwani wa CCM ambao wanatuwakilisha vema kwenye vikao.
Ah yan we lizaboni&co. Tushakuchoka kila siku unaisifia ccm tu
 
Usijali 2020 tutaanzia kwa kumkata huyo rais wenu mwenye PhD fake hadi kwa wabunge wenu wa kusema tutoe sanamu ya askari na awekwe domo
Eti kweli mbunge na heshima zake aliyechaguliwa kwa kura za watanzania anasimama kuomba taifa litumie picha za mpuuzi diamond?
 
Lizaboni huoni kuwa hiyo 2014 walisusa kwa ajili ya mambo haya haya mnayomsimamisha rais Leo kuyatetea na kujitoa fahamu?
Sisi wananchi tumewaewa vyema wabunge hao na tunatafuta wengine wakuwaongeza ili ifike mahali wawe na uwezo wa kuzuia budget za kipuuzi zisipite
Asante sana mkuu kwa mchango mzuri na kunikumbusha
 
Halafu tuchague hao ma ccm ambao kila kitu kwao ni ndiyooooo!!!!!!! Hebu ona huu mkataba wa makinikia unavyotutesa kwa ajili ya wabunge wa ccm...? Hapo bado hatujashtuka kwenye muswada wa sheria ya gesi utakuwaje huko mbele ni, maana ulipelekwa bungeni kwa hati ya dharura na ma ccm yakaupitisha kwa ndiyooooo!!!!!!!!!!! Ni bora kutoka nje ya bunge kama hukubaliani na kinachoendelea humo ndani kuliko kusema ndiyooooo, then wanaoumia ni wananchi ambao ndiyo unaowawakilisha!!
Peleka utumbo wako kwa m.a.f.a.l.a wenzio ccm.....
Bora CCM na ndiyo zao kuliko wanaosusia kwa sababu tu hawana hoja za kuchangia
 
Back
Top Bottom