Wananchi kutaka Mabadiliko haimaanishi CCM ni chama kibaya bali ni Suala la " Wakati", 2025 CCM itatumia njia ile ile ya 2020!

2025 utakuwa uchaguzi tofauti kabisa yale ya 2015 yatajirudia, chadema na upinzani wengine wataungana na ccm wasiomtaka P.Mpango (PhD), haya maandamano ya sasa hivi ni ya kupasha moto tu kwa kinachokuja …
Mkuu funguka kidogo kwa Mpango hapo,kivipi yaani!!
 
Siasa hainaga Dhulma bwashee 😄
Siasa ni kazi kama kazi nyinginezo tena siasa ni kazi yenye kipato kikubwa sana kwenye Nchi za Afrika na nyinginezo za Dunia ya tatu. !!
Kwahiyo ukimdhulumu aliyeshinda ujue umemdhulumu yeye kama mshindani wako na pia umewadhulumu haki zao wale wote waliompigia kura waliyekuwa wanamtaka !!
Dhulma ni dhulma tu !
Watu wajiandae na Adhabu za kudhulumu !
 
Back
Top Bottom