wananchi jihadharini na mikutano isiyo vibali ni kafara za CHADEMA

Tanzania ya sasa sio ile tanzania ya mwaka 47.
Siasa za maji ya chooni zinazofanywa na ccm hazitawaokoa dhidi ya vuguvugu hili la mabadiliko.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kupe inabidi useme hivyo tu, huna jinsi-pengine ikasaidia mh, sijui hata hivyo kama utaweza kubadilisha kitu
 
raia masikini wasio na hatia wanakufa lakini viongozi wao wanabaki na kupata umaarufu wa kisiasa ndani na nje . ndugu mwananchi mpendwa ukisikia kuna mkutano maandamano au mkusdanyiko wowote unaohusiana na vya vyama vya siasa ukagundua hauna kibali tafadhari sana kaa mbali kwa usalama wa maisha yako..... MTUME MUHAMMAD S.A.W alisema usipende kujiweka mbele mbele. naye YESU wa NAZARETI alialikwa kwenye sherehe kamwe hakwenda kukaa kwenye mstari wa mbele. mwenye macho na aone na mwenye masikio asikie TANZANIA tunakoelekea sasa sio CHADEMA wanaipeleka nchii iwe kama SOMALIA au WATUTSI NA WAHUTU. ...... najiuliza hivi ikitokea uchaguzi ujao na CHADEMA wakashindwa itakuwaje?????????????
YESU MNAZARETI UMEMUINGIZA KIAINA TU , WEWE NI WAHUYO MWINGINE! maneno yako, akili yako na uwezo wako wa kupima mambo unafichua wewe ni waaina ipi!
nafahamu mzee ushapewa gunia mbili za mpunga aah kwako ni kheri, ndio maana hata wanoajaribu kukusaidia unawaona wajinga kisa unahakika ya pilau angalu kwa wiki moja! shame to yourself, and you are a disgrace to your family and nation as well!
 
We dogo unagogwa na mawe ya chunvi ndo maana unashndwa kufikiria
 
Huyu nae anataka asikilizwe? . .
Kitu pekee unachoweza kufanya ni kuunga mchuzi. . .wenzako wana vichwa wewe una nazi.
 
Haki inatafutwa haiombwi?Chama cha upinzani kinacho onesha kinataka kuchukua madaraka kinapatwa na kukatiswa tamaa za aina mbalimbali"propaganda na uenezi",tumia akili ilianza CUF sasa CHADEMA na sababu zile zile kama udini,vitaleta vita n.k.
 
Akili za sheikh ongeza na zako

NI BORA UNGEJIULIZA NI NANI ANAOWAUA.... Chuki zenu kwa CHADEMA zinawafanya Mshindwe hata kufikiri
 
dah..kweli jukwaa limevamiwa, kweli akina KUPE NA NDUGUZO mmepania! 24/7 mnakomaa tu! Pumba asubuhi, mchana, jioni, usiku! tupeni likizo kidogo jamani pumba zenu zimetukifu!
 
napata shida sana kukutana ama kuona waatu wa fikra kama za mleta mada yaani ananisikitisha mno.
 
yawezekana hata nyumbani kwao ndio mawazo yanayochangia familia zao kurudi nyuma kimaendeleo.nawaombea watoto wao wasichukue akili zao
 
raia masikini wasio na hatia wanakufa lakini viongozi wao wanabaki na kupata umaarufu wa kisiasa ndani na nje . ndugu mwananchi mpendwa ukisikia kuna mkutano maandamano au mkusdanyiko wowote unaohusiana na vya vyama vya siasa ukagundua hauna kibali tafadhari sana kaa mbali kwa usalama wa maisha yako..... MTUME MUHAMMAD S.A.W alisema usipende kujiweka mbele mbele. naye YESU wa NAZARETI alialikwa kwenye sherehe kamwe hakwenda kukaa kwenye mstari wa mbele. mwenye macho na aone na mwenye masikio asikie TANZANIA tunakoelekea sasa sio CHADEMA wanaipeleka nchii iwe kama SOMALIA au WATUTSI NA WAHUTU. ...... najiuliza hivi ikitokea uchaguzi ujao na CHADEMA wakashindwa itakuwaje?????????????

kama itakuwa watashindwa kwa haki itakuwa poa tu na kweli tutajua demokrasia imekua tz ila kama ccm itaiba kura kama kawaida yake mtaisoma namba kwa hakika.

na kama hamtaendelea na siasa chafu za kuua raia ili mseme mikutano ya chadema inaua watu kwa hakika cdm itachukua nchi.
 
We ***** kaitahadharishe familia yako huko sio watz wenye matatizo mengi
 
ww cjui wa wapi? umeona kuvuta bangi dili sana!!!? sema utakula kin..si chako! yani akili zako na za huyo juha mwenzako ajiitaye KUPE copy right, hv mmelipwa bei gani???
 
Back
Top Bottom