WanaJF wa humu wengi ni wabaguzi

Attachments

  • Screenshot_20240301_085242_Chrome.jpg
    Screenshot_20240301_085242_Chrome.jpg
    213.6 KB · Views: 3
Achana na Maisha ya mitandaoni na wala usimchukulie usiriazi Sana lakini pia jitahidi Sana kuchuja mambo unayokumbana nayo humu ama kwenye media sosho nyingine Sawa Mamii,,Tuma muda wako mwingi kufanya shughuli zako nyingine za kijamii zenye maslahi kwenye uhalisia wa maisha yako binafsi zaidi na Kwa wengine Kwa kiasi zaidi.Mungu akutunze uje kuwa mke Wangu Mpendwa Bibie,,LUV YOU FLAWAH!!💞💞💞💐💐🍷🍷
 
Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .

Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
pole sana mamii, come to papa, it wont happen again
 
Ukipata wasaha update browser/Google.
Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .

Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
 
Hizo Nguvu Za Kutotoa Ushirikina Kwa Mtoto Mzuri Kama Wewe Tunazitoa Wapi.

Mama Tupo Na Wewe Muda Wote Ndio Maana Kila Siku Nakwambia Nakupenda Sana.
Wengine ndio wema wakusaidiwa humu katika nyanza mbali mbali ila kwangu ni wakudhihakiwa everyday ipo siku yenu maisha yatapiga tu na mtahitaji msaada na mie nawakashifu vile vile .
 
Back
Top Bottom