MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,850
- 32,063
ua pekee, kaka angalia usije ukapishana na utamu mwingiWithout any comparison.
ua pekee, kaka angalia usije ukapishana na utamu mwingiWithout any comparison.
LNB imeingia majiHapa Dishi lielekezwe tu mjini maana inaonekana limesha yumba tayari channel hazisomi hata 1
PoleMnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .
Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
Sasa kwa ulalamishi huu hata mkianza kupeana ugoro si ndiyo utazidi?Niwe mwenye kukuombea kheri iwe juu yenu.ua pekee, kaka angalia usije ukapishana na utamu mwingi
Mwenyezi Mungu ni wa Wote..Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .
Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
SanaNi vile hujui tu mdogo wangu lakini nikwambie tu katika maisha haya usipende sana kuwa mtu wa kutaka kuonewa huruma hasa kwa watu wasiokujua na pia usipende sana kuyaonyesha madhaifu yako.
Hawi muwazi kutaja shida/hitaji lake.Kuna watu tuna roho njema sana.Wanajf si mumpe mnachotaka Queen jamani
Kwanin Mnasimanga
Nshakuambia mara kadhaa....njoo PM nikutoe dukuduku🙂Mnabagua sana na hii itawacost ipo siku nilipotoa kuwa nimetumiwa email ya ajabu kama hizo ya mtu kuniinclude kuwa wanataka kutuua hamkutoa ushirikiano kwa maana mie ni malaya sindio nyie sio miungu Mungu ndio ananilinda. Kabisa mkae mkijua .
Najingine maisha Mungu anapanga ipo siku hata nyie mtakuwa na shida tu na mtakutana na watu wa liokama niliokutana nao.
Chizi kalogwa tena...🤣Umepatwa na nini?
Waya umepiga shoti tena..😜Mental Health is really,
Niachie Mwa J wangu kipenzi...😊Ni vile hujui tu mdogo wangu lakini nikwambie tu katika maisha haya usipende sana kuwa mtu wa kutaka kuonewa huruma hasa kwa watu wasiokujua na pia usipende sana kuyaonyesha madhaifu yako.
Unique FlowerHuyu Dada she is too depressed tangu alivyofanya Abortion na kukosa kuolewa na umri kusogea she has become too anxious and troublemaker back then
Anabidi kupata matibabu ya Afya ya AKILI na KIROHO kwa pamoja.
Kulalamika Sana ni dalili Mbaya ya kutoka kuwa MTU kamili .that's
Hawi muwazi kutaja shida/hitaji lake.Kuna watu tuna roho njema sana.
Wewe ni wa dini gani dada?