WanaJF wa Dar nipokeeni

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Wanajf wote wa Dar ni mgeni wenu leo naomba mnipokee nitakuwepo huko kwa siku 3, sihitaji totos coz mke wangu mzuri na sex kuliko mwanamke yeyote duniani. Natarajia mapokezi mazuri.
 
Karibu sana, lkn mkeo kuwa mzuri haikuzuii kuonja ladha nyingine tofauti
 
Tehe tehe, mgeni ni muoga halafu ana masharti kweli!!!! Na mimi nikija nitaanzisha uzi WanaJF wa Dar kazi kwenu nipo ila nikija sitaki kinywaji chochote zaidi ya maji. Maji ni kinywaji changu asilia na nakipenda sana, I'm just joking jama.
 
Weka picha ya huyo mkeo ili wadau wampime TBS yake, uone kama watu hawajammwaga from all angles. Mambo ya kusifiana uzuri yako Facebook bana.
 
Wanajf wote wa Dar ni
mgeni wenu leo naomba mnipokee nitakuwepo huko kwa siku 3, sihitaji
totos coz mke wangu mzuri na sex kuliko mwanamke yeyote duniani.
Natarajia mapokezi mazuri.

kwan umeambiwa dar kuna kiwanda cha totoz? anyway,karibu sana.
 
Weka picha ya huyo mkeo ili wadau wampime TBS yake, uone kama watu hawajammwaga from all angles. Mambo ya kusifiana uzuri yako Facebook bana.

aka Cat, kuwa mzuri kwangu si lazima awe mzuri kwako, na ndiyo maana nilimuoa mimi na hakuolewa na mtu mwingine.
Ndo malkia wangu jina lake pia naitwa Queen au Regina kwa lugha nyingine.
 
Wanajf wote wa Dar ni mgeni wenu leo naomba mnipokee nitakuwepo huko kwa siku 3, sihitaji totos coz mke wangu mzuri na sex kuliko mwanamke yeyote duniani. Natarajia mapokezi mazuri.
Karibu kiongozi lol.
So shemeji umekuja nae?maana kama hujaja nae basi hapa dar lazima utafune pweza kwa sana kisha totoz za kumwaga,anyway karibu kwetu huku maeneo ya UK aka "MILIPUKONI"make sure una pumzi ya kutosha kukimbilia taifa mara itokeapo milipuko.
 
Wanajf wote wa Dar ni mgeni wenu leo naomba mnipokee nitakuwepo huko kwa siku 3, sihitaji totos coz mke wangu mzuri na sex kuliko mwanamke yeyote duniani. Natarajia mapokezi mazuri.

mbona umeanza kwa mbwembwe ivo mgeni!naona unampaisha wife! karibu upitie hapa MEEDA..
 
Wanajf wote wa Dar ni mgeni wenu leo naomba mnipokee nitakuwepo huko kwa siku 3, sihitaji totos coz mke wangu mzuri na sex kuliko mwanamke yeyote duniani. Natarajia mapokezi mazuri.
unatokea wapi mi nkampe kampan mkeo.. sio vizuri kumwacha mwenyewe.!!!
 
hata sisi tuna waume zetu wachapakazi kuliko kitu cha aina yoyote......we karibu dar kama ni kwenda viwanja tutakwenda....
 
Wanajf wote wa Dar ni mgeni wenu leo naomba mnipokee nitakuwepo huko kwa siku 3, sihitaji totos coz mke wangu mzuri na sex kuliko mwanamke yeyote duniani. Natarajia mapokezi mazuri.

We mwoga haujiamini kulikuwa hakuna haja ya kusema hauitaji totoz kwani waliopo Dar wote wamefuata totoz nahic unaogopa ukiwaona utamsaliti queen wako na hatukupokei na sisi tuna waume zetu maprince charm au waite wafalme hatutaki kubwazi kutoka utokako
 
Mie niko bize na mme wangu Rejao cjui km nitapata nafasi,ila karibu mjin.
 
Last edited by a moderator:
We mwoga haujiamini kulikuwa hakuna haja ya kusema hauitaji totoz kwani waliopo Dar wote wamefuata totoz nahic unaogopa ukiwaona utamsaliti queen wako na hatukupokei na sisi tuna waume zetu maprince charm au waite wafalme hatutaki kubwazi kutoka utokako

Hujambo katibu wangu?
 
Back
Top Bottom