TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,513
- 11,276
Nahisi Mume anamdharau mke, au wanadharauliana na mume amepata nafasi ya kuonesha dharau zake.. Nakumbuka utotoni mgeni akiwa anakuja kututembelea tulikuwa na sisi watoto tunapewa taarifa kabla, ilhali tulikuwa hatuna mchango wowote kwenye familia. Sasa hili la mtu na mkewe halafu hakuna kupeana taarifa kabla linaniacha mdomo wazi..