Wanajeshi wafunga barabara ya mandela

Pole sana ndugu, ni wanajeshi wamechukua sheria mkononi au wewe hujui sheria?.
unatakiwa kwanza wewe kufanya kazi yako ,ndipo uambie wengine kufanya kazi zao.
 
huenda wameifunga kwa nia nzuri do not rush to judge them negatively give us the reason behind the closing of the said mandela road!
 
Sababu??, Funguka Mkuu. Isije ikawa wana machungu b'se hawajalipwa Mshahara wa mwezi November
 
labda kuna aishababu hapo.............. au demu wao kachukuliwa
 
kwa kweli naona hii nchi wanajeshi wameamua kujichukulia sheria mkononi na kufunga barabara ya mandela kuanzia hostel mpaka external

Kwa serikali hii legelege ni sahihi wanajeshi kuchukua hatua kama hizo
 
Hilo eneo kuna ajali imetokea ikihusisha gari zaidi ya 3 za Jeshi zikiwemo za mizigo. Kwa maelezo ya watu walio jirani na tukio ajali hiyo imesababishwa na kusimama ghafla kwa Lori lililokuwa mbele ya msafara wa magari hayo ya jeshi, dereva wa gari ya mbele ya msafara huo aliwahi kusimamisha gari na kutoligonga lori hilo lakini madereva wa magari ya jeshi yaliyofuata wakashindwa kusimamisha magari yao kwa haraka na kusababisha kugongana nyuma kwa magari takribani manne yaliyofuata.
 
kuna ajali imetokea magari yao yamegongana yenyewe.ila sasa wamefungua barabara

Kumbe Mkuu ulikuwa unajua sababu ya barabara hyo {hostel _ external} kutopitika, kwani magari yale yalifunga barabara baada ya ajali, kwanini ukairipoti katika mtazamo hasi?
 
wagongane wao, na barabara wafunge wao..........akili za kuku wa Singida changanya na supu ya utumbo wa nbuzi za shinyanga.
 
kuna ajali imetokea magari yao yamegongana yenyewe.ila sasa wamefungua barabara
kwahiyo magari yanagongana yenyewe kama ng'ombe sio??? mambaffff kabisa haya magari yanayogongana yenyewe
 
Back
Top Bottom