Wanajeshi 16 waungua moto hadi kufa Gaza

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,308
35,852
Miili ya wanajeshi 16 Israel ikiwa majivu baada kupata kipigo..

They are no longer cheering and dancing “we got Gaza all the children are dead now do they. ?
God almighty works in mysterious ways

16 Zionist soldiers were burned to death

I can’t even see a little bird dead. Life is sweet , But I say. Good riddance.
World will be a great human place with out these baby killer animals
IMG_20231113_204935.jpg
 
hata ikiwa hivyo, hiyoni matokeo ya vita, ukishakuwa mwanajeshi na unaenda vitani, you should expect that. hata hivyo, naona hamas wanashangilia, kumbe wote pamoja na hamas wapo pamoja, wanafurahi pamoja. hivyo, israel akipiga panapouma pia msianze kulialia jueni ni zamu yenu tu kulia kama mlivyofurahi wenzanu walivyokuwa wanalia.
 
Hamas wauwa wanajeshi Israel inauwa watoto na wanawake.
 
Hamas wauwa wanajeshi Israel inauwa watoto na wanawake.
najisikia vibaya kwamba na watoto au raia wanakufa. ila israel hauwi hamas peke yake, ameua hamas wengi, na kwasababu hamas wanakaa katikati ya raia kama ngao ndio maana na raia wanakufa. wa kulaumiwa kwa yote haya ni hamas, ndiye mchokozi. na hata wapalestina wameshaanza kuilaumu hamas kwasababu walikuwa wanaishi kwa amani tu. sasaivi hakuna mpalestina ambaye hajapoteza ndugu wa familia ndani ya mwezi huu mmoja. kila mtu kazika mtu wa kwao kwasababu tu ya hamas.
 
Back
Top Bottom