Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 621
- Thread starter
- #21
nyie ndiyo aina ya watu munaotoa pongezi kwa baraza la mawaziri hata kabla hawajaanza kazi.
vincent nyerere hajamaliza hata mwezi ulishaanza kuwaza kugombea.
una uchu wa madaraka.
utafulia kisiasa.
soon
kaka unakosea unaposema kuwa NI UCHU WA MADARAKA. Na isitoshe NINAMUAMINI MBUNGE ALIYOPO. Na wewe ni mmoja kati wa watu wanaoamini KATIKA MABADILIKO na MAGEUZI. So uwepo wake ninautambua. KUMBUKA hapa, hata yeye anapata Challenge kuwa AWAFANYIE WANANCHI KILE ALICHO WAAHIDI. Mimi ni mmoja ya watu waliompigia KURA, haimaanishi ninapoenda kuomba Ridhaa kwa wananchi inamaana kuwa NI WIVU. Kwa mfumo huo tutatengeneza Monduli nyingine, Mtera nyingina NA CCM nyingine. Wapo wanachama wa CCM wanaamini katika yule anayewapinga NI WIVU. Hapa tunahitaji CHANGAMOTO kutoka kwa watu tofauti, so SIYO DHAMIRA YANGU NI WIVU au UCHU niko nyuma yake kwa kila JEMA ila sitokuwa nyuma yake KINYUME. Nampongeza nyerere jr.