Wanaharakat tunaomba msimamo wenu

ELIESKIA

Senior Member
Jul 21, 2011
120
15
nawataka wanaharakati wote kuhamasisha jamii kuishinikizam serikal ili baraza la mawaziri kujiuzulu. najua wabunge wa ccm hawatatoa ushirikiano kupata sahihi 70 za kutokuwa na iman na PM vile wamezoea kulindana
 
Thank you, unajua hata wewe ni mwanaharakati mkubwaa sana! every body ni mwanaharakati
 
Back
Top Bottom